Alfred Msajigwa Afisa Tehama Chama Kikuu cha Ushirika kutoka Mkoani MARA WAMACU LIMITED amesema wao ni mara ya kwanza kushiriki kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika wilaya ya temeke jijini dar es salaam licha ya ugeni wao wamepata faida ya kujitangaza na kupata masoko ya kitaifa na kimataifa ambako nchi ya Bulgaria,Ukraine na Rashia.
Kahawa yao aina ya Arabika ina ubora ivyo wanawataka watanzania na wasio watanzania kutumia kahawa yao aina ya Arabika . Chama kikuu cha Wakulima Mkoani MARA WAMACU LIMITED itafanya ka'i ya kufungua masoko jijini dar es salaam na mikoa mingine kwaajili ya kuwafikia wateja wao amesema haya kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 49 kwenye banda la Wizara ya Kilimo .
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment