Zuwena Kikoti Muifadhi Mkuu wa TAWA amesema kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 49 yanayofanyika jijini dar es salaam wilayani temeke Tawa wamevutiwa kwa kiasi kikubwa kwa watu kujitokeza kwa wingi kuona wanyama .
Maombi ya watu kutaka kuwepo kwa Tembo na Twiga watafanyia kazi kutokana na mazingira ya Ikolojia hata ivyo amewataka watu kufika eneo la Pande lililopo Bunju ambako kuna hifadhi ya wanyamapori ambako kiingilio elfu 11800 .
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment