Bi Fatma ameipongeza Sido na Kuishukuru kwa kuweza kumpa mafunzo ya kutengeneza Mkaa Mbadala ambao auchafui mazingira na gharama yake nafuu .Bi Fatma anawataka watu wote nchini tanzania watumie mkaa mbadala kwani ni nishati safi na salama kwa kupikia na ambayo aichafui mazingira Pia aina madhara kwenye mwili wa binadamu, Bi Fatma ametoa wito kwa watu wote kufika kwenye banda la Sido kununua mkaa mbadala kwani ni nishati safi ya kupikia na inapatikana ndani ya viwanja vya Sabasaba kwenye maonyesho ya 49 yanayofanyika jijini Dar es salaam.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment