Olais Piniel Meneja Shughuri wa Chama Kikuu cha Ushirika kutoka Mkoani MARA WAMACU LIMITED amesema ni muhimu watu kutumia kahawa aina ya Arabica kwani miongoni mwa siri zilizojificha kuasaidia mtu kutopata kisukari steji ya pili ,kansa steji ya oili,kulinda maungio ya mguu,kibofu cha mkojo kutopata matatizo , kulinda Figo kutopata na magonjwa, na inapunguza unene uliokithiri.
Ivyoamesema bei zao ni rafiki na nafuu kwa wateja wao na pia kahawa inawawezesha watu kupata ajira amesema haya kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 49 yanayofanyika jijini dar es salaam.
Habari picha na Ally Thabit Mbungo
No comments:
Post a Comment