Saturday, 12 July 2025

PICHANI NI KAHAWA AINA YA ARABICA INAYOPATIKANA KWENYE CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOANI MARA WAMACU LIMITED


 Chama Kikuu cha Ushirika kutoka Mkoani MARA WAMACU COOPERATIVE UNION  LMT kama inavyoonekana pichani hii ni kahawa aina ya Arabica inayouzwa kwa bei rafiki kwa kila mtu. Hivyo ni vyema watu wafike ndani ya viwanja vya Sabasaba  kwenye maonyesho ya 49 kwenye banda la Wizara ya Kilimo wanunue kahawa hii aina ya Arabica kutoka mkoani mara .

Habari picha na Ally Thabit Mbungo 

No comments:

Post a Comment