Sunday, 13 July 2025

TBA YAJA NA MIKAKATI MIZITO


  Martin Sayeli Afisa Mipango Idara ya Milki Wakala wa Majengo Nchini Tanzania (TBA) wanatekeleza kwa vitendo miradi yote ya ujenzi wa nyumba za serikali ambako nyumba hizi wanauziwa na kupangishiwa watumishi wa serikali na watu binausi .

TBA inajenga nyumba rafiki na wezeshi kwa makundi yote kwa watumishi wa serikali wanapangishwa nyumba kwa kiasi cha shiringi milioni moja  nawasio wa serikali milioni moja na laki tano . TBA  wameweka vutasa janja kwenye milango lengo ni kukabiliana na kuwadhibiti wapangaji ambao awalipi kodi.

Amesema haya kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 49 yanayofanyika wilaya ya temeke jijini dar es. 

Habari picha na Victoria Stanslaus. 

No comments:

Post a Comment