Joseph Johachim Mtei ni Kijana Mwenye Ulemavu wa Viungo ambae Veta imempa Mafunzo ya Uchoraji wa Ramani mafunzo haya anapata mkoani Dodoma, Joseph amesema lengo lake anataka awe Mwandisi wa kucora ramani za majengo Licha yakuwa na changamoto ya mikono Joseph ndoto zake na ndoto zake zimeweza kuibuliwa na Chuo cha Veta Dodoma ambako anachora ramani za majengo kupitia Miguu.
Ameishukuru Veta kwakuweza kuibua matumaini yake ya maisha yake na kukamilika kwa ndoto zake.
Ametoa wito kwa wazazi na walezi kuwapeleka watu wenye Ulemavu Veta amesema haya kwenye banda la Veta ndani ya viwanja vya Sabasaba kwenye maonyesho ya 49 Wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam.
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment