Monday, 7 July 2025

VETA SONGEA YAMUIBUA MTU MWENYE ULEMAVU


Riziki Stefano Ndumba ni Kijana mwenye ulemavu wa viungo ameipongeza na kuishukuru Veta Songea kwakuweza kumpa mafunzo ya kushona nguo ambako 2020 aliweza kupata mafunzo haya na kuweza kuhitimu kwa miaka miwili  ambako mafunzo haya yamemuwezesha kuingiza pesa . Hivyo anawataka watu wenye ulemavu kufika kwenye Vyuo vya Veta popote walipo hapa tanzania hili waweze kupata fani ambako itawasaidia kutokuwa wategemezi katika maisha yao .

Huku akiwataka watu kutembelea  banda la Veta kwenye maonyesho ya 49 yanayofanyika wilaya ya temeke jijini dar es salaam. 

Habari picha na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment