Kama inavyoonekana Pichani Kijana Joseph Joachim Mtei hii ndio njia ambayo anatumia kuchora ramani za majengo ambako chuo cha Veta Dodoma ilivyoweza kumpa mbinu ya kuchora ramani kupitia miguu yake, Joseph Joachim Mtei anawataka watu watembelee kwenye banda la Veta ndani ya viwanja vya Sabasaba kwenye maonyesho ya 49 jijini dar es salaam.
Lengo wajifunze namna ya watu wenye ulemavu wanavyofanya kazi zao na Veta walivyoludisha tumaini la watu wenye ulemavu katika maisha yao .
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment