Mkurugenzi mtendaji wakituo cha msaada wa Kisheria LHRC bi Hellen Kijobisimba amesema wanalaani vikali kitendo cha mamlka ya mawasiliano Tanzania kuvipiga faini vyombo vitano vya Habari ikiwemo Azam, star tv, channel ten, East AFrica na ITV kwakutoa taarifa ya tathmini ya uchaguzi mdogo wa madiwani wa mwaka 2017 ambapo taarifa hizo zilitolewa na kituo hicho hivyo ameitaka TCRA kufuta adhabu hizo mara moja ambapo jumla ya Milioni Sitini zinatakiwa kulipwa na Vituo hivyo
Aidha bi Hellen ametoa wito kwa wadau mbali mbali kuchangia mfuko ambao utasidia kulipa faini ambao utakuwa unasaidi vyombo vya Hbari Vinavyopigwa Faini
Habari Picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment