Thursday 27 July 2017

GHARAMA NI KIKWAZO KWA WANA USHIRIKA

Dokta MAGRETI MSONGANZIRA mwadhiri mwandamizi wa chuo cha ushirika Moshi amesema gharama za kusoma kwa wana ushirika ni kikwazo kikubwa kwao ndio maana wanashindwa kwenda kusoma mafunzo ya ushirika pia kutokana na umbali wa ofisi zao wanashindwa kwenda  kupata mafunzo  ameishauri tume ya chuo cha ushirika kutekeleza kwa vitendo bajeti iliyopangwa  kwaajili ya wana ushirika kupata elimu wakifanya ivyo itawasaidia wana ushirika ususani wakulima kwa kuongeza tija ya uzalishaji katika kilimo na kusaidia kupata kipato na kukua kwa uchumi wa Tanzania amesema haya kwenye maonyesho ya vyuo vikuu eneo la Mnazi mmoja wilaya ya Ilala jijini  dar es salaam  amewatoa ofu watanzania kuwa chuo hiki cha ushirika bado kinatoa elimu na mafunzo kwa ngazi ya chini kama awali chuo  cha ushirika moshi kina jumla ya mataqwi 13 kwenye mikoa ya Tanzania bara na kina wanafunzi 4500

habari picha na  ALLY THABITI

Wednesday 26 July 2017

VIONGOZI WA ASASI ZA NCHI KUMI NA MBILI ZILIZOPO KUSINI MWA MAZIWA MAKUU BARA LA AFRIKA WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA

Habari picha na  ALLY THABITI

MWENYEKITI WA JUKWAA WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU AWATAKA VIONGOZI WAFUATE DEMOKRASIA NA UTAWARA BORA

JOSEFU BUTIKU mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya mwalimu nyerere  na mwenyekiti wa asasi za nchi12 za maziwa makuu ya Afirika amesema arizishwi na vita zinazo tokea kwenye nchi za kusini mwa Afrika  kwani zinasababisha kufa kwa watu, kuongezeka kwa wakimbizi na watu kupata ulemavu  wa aina mbalimbali  ivyo amewataka viongozi wa  SUDANI YA KUSINI, DEMOKRASIA YA KONGO ,SOMARIA na nchi zinginezo wafuate misingi ya demokrasia , kanuni ,sheria na utawara bora kwani wakifanya ivyo wataondoa migogoro iliyopo JOSEFU BUTIKU  amesema haya kwenye mkutano wa siku 2 unaofanyika jijini  Dar es salaam kwenye hotel ya NEW AFRIKA  ametoa rai kwa asasi za nchi hizi kuongeza jitiada katika kutoa elimu kwa wananchi na viongozi na washirikiane na serikali katika kubolesha misingi ya utawara bora

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

Tuesday 25 July 2017

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ARIDHISHWA NA UJENZI WA WODI YA KINAMAMA WAJAWAZITO

Mkuu wa mkoa wa dar es salaam POO MAKONDA  ameridhishwa na hatuwa ya ujenzi ulivyofikia kwenye wodi ya mama wajawazito katika Ospitali ya AMANA  iliopo manispaa ya Ilala jijini dar es salaam wodi hii itakuwa na uwezo wa kubeba vitanda 150 na kuweza kusaidia kuondoa  mrundikano wa mama wajawazito kabla ya kujifungua na baada ya kujifungua Lengo laujenzi wa wodi hii nikutekeleza kwa vitendo kauli ya rais MAGUFULI kwa kutoa huduma bora kwa jamii na kunusuru vifo vya kina mama wajawazito na watoto wanao zaliwa  Mkoa wa dar es salaam utakuwa na jumla ya vitanda 450 vya mama wajawazito na watoto katika manispaa za Kinondoni, Temeke na Ilala pindi mradi wodi hizi zitakapo kamilika  na rais MAGUFULI  ndeye atakayezinduwa ametoa rai kwa wadau mbalimbali kujitokeza kuchangia ujenzi mbalimbali hapa jijini dar es salaam ili kuwasaidia watumishi kufanya kazi katika mazingira bora

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

Monday 24 July 2017

CHAMA CHA ADC CHAMUOMBA RAIS MAGUFULI KUBADILI MSIMAMO WAKE

Katibu mkuu wa chama cha ADC  DOYO ASANI DOYO   amemuomba rais MAGUFULI  kubadili msimamo wake juu ya vyama vya siasa kufanya shuuri zao za kisiasa zikiwemo mikutano ya adhara, makongamano na semina mbalimbali  DOYO ASANI DOYO amesema kuwa chama chao cha ADC kwao ni kikwazo kikubwa kwa msimamo huu wa rais MAGUFULI  amesema haya kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa baada ya kupokelewa na katibu mkuu wa mkoa wa dar es salaam  ivyo DOYO ASANI DOYO  ameupongeza uongozi mzima wa mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwa mapokezi makubwa . kutembelea maeneo mbalimbali zikiwemo sehemu za taasisi za kidini , maospitalini , jera ya watoto na vituo vya vyombo vya habari  Jumla ya wajumbe 14 wa chama cha ADC  wameambatana na katibu mkuu wao DOYO ASANI DOYO  kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam ametoa wito kwa serikali wawape kibari cha kufanya mikutano ya adhara kwani watatumia rugha safi na bila vulugu yoyote

habari picha na VICTORIA  STANSLAUS

Thursday 20 July 2017

JUMUIYA YA MABAARIA NCHINI TANZANIA YAMUOMBA RAIS MAGUFULI WAWASAIDIE

Mwenyekiti wa jumuiya ya mabaaria amemuomba rais MAGUFULI aisaidie jumuiya yao katika maswala ya kuwaendeleza kimasomo mabaaria na kuiwezesha kipesa ili iweze kufungua ofisi zao MTWARA , RINDI , BAGAMOYO ,MAFIA , TANGA  na  ZANZIBAR pia ameipongeza serikali kwa kuweza kuwatambuwa mabaaria jumuiya hii ina zaidi ya wanachama elfu5000  mikakati walio nayo  kuwatafutia ajira mabaaria,kuwaendeleza kimasomo na kufungua web sait lengo waweze kujitangaza kimataifa changamoto wanazokutana nazo ni uhaba wa pesa na kutoajiliwa  kwa mabaaria wao ametoa wiito kwa wadau mbalimbali na serikali wawaunge mkuno  kwa hali na mali ili waweze kufanikisha malengo yao ili waeze kuwasaidia watanzania kupata ajira na kukuza uchumi wa nchi

habari picha na ALLY THABITI

WAZIRI WA UTUMISHI AIPONGEZA MANISPAA YA UBUNGO KUTOKUWA NA WATUMISHI HEWA

Waziri wa utumishi ANJERA KAIRUKI ameupongeza uongozi wa manispaa ya UBUNGO kutokuwa na watumishi hewa na kuweza kuakiki vyeti feki kwa uwazi na ukweli pia ameto wito kwa watumishi wa manispaa yaUBUNGO wawatumikie wananchi bila ubaguzi wala upendeleo na wapige vita maswala ya rushwa na ufisadi

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

KAMPUNI ZA FORODHA ZATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA

Katibu mkuu wa mawakala wa FORODHA  wanashuurika na utoji wa mizigo bandarini TONI SWAI amezitaka kampuni za FORODHA  apa nchini zijiytokeze kwenye mkutano utakao fanyika tarehe 23/8/2017 ambao utafunguliwa na mgeni rasmi rais JONH POMBE MAGUFULI ambao utaudhuliwa na wageni kutoka nje ya nchi zaidi ya 150 ivyo watanzania kupitia mkutano huu watapata fursa ya kuingia ubia na makampuni ya kigeni katika kufanya kazi na watanufaika kutofanya kazi bila vikwazo na bila ushindani wowote katibu mkuu TONI SWAI amewataka wadau mbalimbali wajitokeze katika kuakikisha mkutano huu unafanyika pia amewapongeza TPA kwa kufadhiri mkutano huu  pia amezungumzia kiwango cha pesa ya kushiliki kwenye mkutano ni dola150 pia mkutano huu utaudhuliwa na wawekezaji mbalimbali  ametoa wito kwa sekta mbalimbali za nchini Tanzania na wafanya biashara kubwa na ndogo wajitokeze kwa wingi kwenye mkutano ili waonyeshe bidhaa zao na kuzitangaza pia amewataka wale ambao awajajiandikisha wajiandikishe alaka kwani nafasi zimebaki chache

habari picha na ALLY THABITI

Friday 14 July 2017

TAMOBA YALETA CHACHU YA MAENDELEO DAR ES SALAAM


kwaniaba ya bodi ya wakuruenzi  barozi  mstaafu FRANCIS BELNARD MNDOLWA  amekabizi  komputer 50 kwa mkuu wa mkoa POO MAKONDA  zenye thamani ya shilingi milioni 85 lengo ni kutatua changamoto zilizopo jijini dar es salaam na kuwawezesha viongozi wa almashauri waweze kutoa huduma zao kwa ufanisi zaidi na kualakisha maendeleo ya dar es salaam kwa niaba ya bodi ya wakurugenzi wa TAMOBA barozi mstaafu FRANCIS BELNARD MNDOLWA  ametoa wito kwa taasisi mbalimbali ziweze kutoa misaada ili maendeleo yapatikane jijini dar es salaam na amewasii kuwapuuza watu wenye nia mbaya na jiji la dar es salaam  kwani niwatu ambao awapendi maendeleo

habari picha na VCTORIA STANSLAUS

Thursday 13 July 2017

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO FILLIPU MPANGO AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA TAMFI PAMOJA NA WADAU WENGINE

Habari picha na VICTORIA STANSLAUS

WADAU WA TAMFI WAMUUNGA MKONO WAZIRI WA FEDHA

DEVOTA  LIKOKORA amesema  maagizo alio tyatoa waziri wa fedha na mipango FILLIPU MPANGO wameyapokea na watayafanyia kazi maagizo hayo yakiwemo kulipa kodi na kufuatilia miradi yote  amesema wana vikoba wote wanamuunga mkono waziri wa fedha kwa utendaji wake wa kazi na wamempongeza  kwa kupigania sera ya maikofenense kwa atua ilipo fikia mpaka kufika mwaka 2018 kuwa sheria rasmi kwani itawasaidia kwa kiasi kikubwa kuendesha taasisi zao za kifedha bila vikwazo ametoa wito kwa wadau wa kilimo na fedha nivema waungane na kuwa kitu kimoja pamoja na kushirikiana kwaajili ya kukuza sekta za kilimo na fedha lengo kukuza uzalishaji wa mazao na uchumi wa nchi


habari picha na ALLY THABITI

MWENYE KITI WA TAMFI AIPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA

JOELI MWAKITALU mwenye kiti wa TAMFI ameipongeza serikali ya tanzania kwa kuiwezesha TAMFI kwa kuipa pesa mbalimbali kwaajili ya kuendesha sughuri zao  amesema TAMFI inakabiliwa na changamoto mbalimbali ususani katika kuwafikia watu wa vijijini ivyo ameiomba serikali iweze kutengeneza miundo mbinu ya barabara lengo waweze kuwafikia wananchi kwa uraisi ametoa wito kwa jamii wajiunge na TAMFI ili waweze kunufaika na mikopo

habari picha na ALLY THABITI

WAZIRI WA FEDHA AZITAKA TAASISI NDOGO ZA KIFEDHA ZITOE MASHARTI NAFUU KWENYE MIKOPO

Waziri wa fedha amezitaka taasisi za kifedha zinazotoa huduma ndogo ndogo za kifedha  zitoe masharti nafuu kwa wafanya biashara wadogo wadogo  pia amewataka waweze kufuatilia pesa wanazotoa kwenye miradi pia amewata wabuni mikopo kwenye sehemu zenye fursa mfano arizeti, uyoga na ufugaji wa samaki pia amewataka watumie technorojia ya kisasa lengo wawafikie wananchi kwa wingi ametoa wito kwa serikali kutengeneza sela nzuri  amewataka taasisi za kifedha ziweze kulipa kodi sitaiki pia amewapa faraja wana TAMFI kwa kuambia kuwa sera ya maikofenense kufika mwaka2018 itakuwa sheria rasmi hamesema haya kwenye mkutano wa TAMFI kwenye ukumbi wa mwalimu nyerere uliopo posta jijini  dar es salaam

habari picha na VICTORIA STANLAUS

Tuesday 11 July 2017

OSPITALI YA MKOA YA TEMEKE YAELEZA MIKAKATI KUUSU IDADI YA WATU

Muuguzi FRAMANI SWAI amesema kutoa elimu kuusu  kutumia njia bora za uzazi wa m,pango ni njia bora yenye lengo la watanzania waweze kuwa na watoto ambao wataweza kuwahudumia bila matatizo ikiwemo kuwapeleka shule na kuwapa huduma za kiafya bila matatizo amesema haya siku ya kilele cha idadui ya watu dunuiani ambapo imeazimishwa kwenye viwanja vya mwembe yanga wilaya ya Temeke jijini dar es salaam alivyo tembelewa  na kaimu mwakilishi mkazi wa shirika la idadi ya watu duniani UNFPA Dkt. ASHINA na naibu katibu mkuu wa wizara ya AFYA JINSIA WATOTO na WAZEE ameiomba serikali na UNFPA wawapatie dawa pamoja na wataalam kwani ni wachache ambapo kauli mbiu ni uzazi wa mpango kuwezesha watu na kuendeleza mataifa

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAELEZA JINSI INAVYOTOA ELIMU KWA JAMII

Mmoja  wa viongozi wa ofisi ya taifa ya TAKWIMU amasema semina kmakongamano  na kutoa taarifa kupitia vyombo vya habari ni njia wanazo tumia kuwapa elimu waTANZANIA kuusiana na matumizi ya njia za uzazi nwa mpango lengo waweze  kupanga uzazi bora hamesema haya siku ya kilele cha idadi ya w3atu Duniani kwenye viwanja vya mwembe  yanga wilaya ya Temeke jijini dar es salaam alivyo tembelewa na kaimun  mwakilishi mkazi wa  UNFPA dkt. ASHINA pamoja na  naibu katibu mkuu wa wizara ya afya jinsia ,watoto na wazee OTILIA GUELO amewaomba wawape vifaa vya kisasa katika kutekweleza majukumu yao ya kazi

habari picha na ALLY THABITI

UNFPA YAWATAKA WATANZANIA WATUMIE NJIA ZA UZAZI WA MPANGO

Mratibu wa mawasiliano na afisa habari wa shirika ya idadi ya watu tanzania UNFPA amewataka watanzania waache mila potofu na dhana potofu katika matumizi ya kutumia njia bora na salama za uzazi wa mpango amesema kuwa UNFPA nchini Tanzania inawafikia watanzania kwa kiasi kikubwa mijini na vijijini katika kuwapatia elimu kuusu njia za uzazi wa mpango kwa kutumia vyombo vya habari,semina,wanawatumia wadau mbalimbali kwenye vituo vya afya ,viongozi wa kidini na viongozi wa jadi na kimila pia amewatoa ofu watanzania juu ya kutumia njia za uzazi wa mpango lengo nikuwa na idadi kamili

habari picha VICTORIA STANSLAUS

ONGEZEKO LA WATU NCHINI IWE FURSA YA UCHUMI

Profesa wa uchumi wa chuo kikuu cha MZUMBE PROSPA NGOWI amesema ongezeko ya idadi ya watu nchini iwe fursa katika uzalishaji mali  kwani itasaidia kukuza uchumi wa Tanzania na serikali iweze kuboresha miundo mbinu ya elimu na Afya kwani itasaidia kuelekea Tanzania ya uchumi wa kati  na viwanda  amesema haya kwenye kilele cha siku ya idadi ya watu Duniani kwenye hotel ya  serena jijini Dar es salaam

habari picha na  ALLY THABITI

WANAUME WATAKIWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU KUTUMIA UZAZI WA MPANGO

KATHIBATI MEI MAENDA  kutoka asasi ya kiraia  inayoshuulika na kutoa elimu kwa wanaume  kuusiana na uzazi wa mpoango amesema wanaume ni vema washiriki kikamilifu  kutumia njia za uzazi wa mpango na malezi ya watoto kwani kutasaidia kuwwepo kwa ongezeko la watu lenye tija KATHIBATI amesema mkoa wa SINGIDA wamekuwa na mwamko mkubwa kwa kutumia njia za uzazi wa mpango na wamewewza kuamasisha wa naume pia wanawake wameweza kuamasika kutumia njia za uzazi wa mpango Swala la ukosefu wa madawa na watumishi imekuwa ni kikwazo katika uzazi wa mpango ivyo ametoa wito kwa serikali na wadau mbali mbali watatue changamoto ya madawa na watumishi

habari picha na ALLY THABITI

BIMA ZA AFYA ZATAKIWA KUWEKA MFUMO WA UZAZI WA MPANGO KWA WATEJA WAO

TABIA MASUDI meneja wa mauzo na masoko wa kampuni ya bima ya afya ya AAR amezitaka bima zingine za afya ziweke mfumo wa uzazi wa mpango kwa wateja wao lengo kuelimisha jamii kuusu njia bora za kuweka uzazi wa mpango salama ili kuweza kupunguza idadi ya watu lengo waweze kuwaudumia vizuri kuwa na idadi kamili ya watu inasaidia uzalishaji wa tija kwa nchi na kukuwa kwa uchumi

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

Monday 10 July 2017

EQUITY BENKI YAJIVUNIA HUDUMA BORA

Kiongozi wa benki ya EQUITY amesema wanajivunia kwa kutoa huduma bora kwa wananchi amewataka watanzania watembelee banda lao kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba waweze kufunguwa akaunti kwani kwa Tanzania wameenea kwa kiasi kikubwa pia wakiwa nje ya nchi wanapata huduma ya kutoa pesa kwenye benki yeyote ametoa wito kwa wajasiliamali wafunguwe akaunti ya EQUITY ili waweze kupata mikopo nafuu

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

BODI YA UTALII TANZANIA IMEWATAKA WATANZANIA WAJITOKEZE KWA WINGI KWENYE MAONYESHO YA 41 YA SABASABA

Meneja utafiti GRADSTON FAMILI MLAI amesema watanzania wajitokeze kwenye maonyesho ya 41 ya  sabasaba wajionee Wanyama hai na sabasaba ikimalizika pia watembelee vivutio mbalimbali vya utalii kwani kufanya ivyo watasaidia kuongezeka kwa pato la Nchi na mwaka huu kuwaona wanyama hai kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba ni shilingi1000 kwa mkubwa na mtoto ni shilingi 500 lengo la kutowa pesa izo ni kwaajili ya kuboresha wanyama hai hao na kuwaleta kwa wingi

habari picha na  ALLY THABITI

PICHANI TECHNORIJIA YA UFUGAJI WA SAMAKI

Jeshi la kujenga Taifa matenki ya kufugia samaki ndio technorojia mpya walio ileta  tanki moja lina kaa samaki 100 pia inasaidia katika utunzaji wa mazingira


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

Saturday 8 July 2017

BENKI YA NMB YAJA NA MIKAKATI MIZITO KWA WAJASILIAMALI WADOGO WADOGO

DORIS A.KILALE  nimwakilishi wa NMB amesema wameamuwa kuanzisha mikopo kwa wafanya biashara wadogo wadogo asa mama ntilie na wachoma vitumbuwa lengo nikuwasaidia ili wawe wajasiliamali wakubwa pia wameamuwa kuanzisha akaunt kwa watoto lengo kuwawezesha watoto wawe na pesa zao wenyewe DORIS A.KILALE  ametowa wito kwa jamii watembelee banda la NMB kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba wapate huduma bora na za uhakika zaidi  Pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI  kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kutoa mikopo nafuu na isiyo na liba kubwa kwa wafanya biashara


habari picha na VICTORIA STANSLAUS

Friday 7 July 2017

JESHI LA KUJENGA TAIFA LATEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI

RUTENI EDWADI GEZA kutoka idara ya kilimo amesema wanatekeleza agizo la rais MAGUFULI  kwa kulitaka jeshi la kujenga Taifa lilime chakula cha kutosha kwaajili ya kuisaidia serikali katika kupeleka vyakula kwenye makambi ya kijeshi hapa Nchini RUTENI EDWADI GEZA  amesema wameshaweka mikakati mbalimbali kwenye sekta ya kilimo kwa kuanzisha mashamba makubwa na kuanzisha mashamba darasa nakwa kulima kilimo cha kisasa  ametoa wito kwa wakulima nchini wawatumie wataalam wakilimo na mbolea katika ulimaji wao

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

JESHI LA KUJENGA TAIFA LAJA NA TEKNOROJIA MYA YA UFUGAJI WA SAMAKI

LUTEN JOSEFU LIYAKULWA ni afsa uvuvi wa samaki amesmawamekuja na teknorojia mpya na ya kisasa kufuga samaki kwa kutumiqa matenk lengo ni kuongeza uzalishaji wa samaki kwa wingi na wenye tija ambako utasaidia kuongezeka kwa ajira, kukuwa kwa uchumi na kuimalisha Afya za watanzania amezitaka taasisi za fedha kuweza kuwakopesha watanzania wenye kipato kidogo ili waweze kuendesha mradi huu kwani gharama za awali ni sh.milioni 3

habari picha na ALLY THABITI

GLOBAL EDUCATION LINK LTD AMEWATAKA VIJANA WA TANZANIA WACHANGAMKIE FURSA ZA KWENDA KUSOMA NJE

Mkurugenzi wa udahili wa GLOBAL EDUCATION  ZAKIA NASSORO amesema vijana wa kitanzania wachangamkie fursa za kwenda kusoma nje ya nchi kwaajili ya kupata ujuzi zaidi na kujifunza maswala mbalimbali ya techinorojia mpiya na za kisasa kwa kupitia taasisi yao ya GLOBAL ambayo inatambulika na serikali ya Tanzania katika kuwatafutia nafasi za kwenda kusoma nje ya nchi  na kudahili wanafunzi hawa amewataka wanafunzi wa kitanzania waweze kujitambuwa katika kozi wanazosoma na wasifuate mkumbo Taasisi hii ina jumla yanchi  15 ambapo wanawapeleka wanafunzi na ada zao shilingi milioni3 na hapa nchini wana ofisi 6 Dar es salaam ndio makao makuu kwenye viwanja vya sabasaba na wanapatikana kupitia kwa simu ya mkononi 0656 200200 Arusha na Mwanza wapatikana pia amewatoa ofu wazazi na walezi kuwa nchi wanazowapeleka vijana wao zina amani na usalama

habari picha na ALLY THABITI

Wednesday 5 July 2017

AMREF HEALTH AFRICA YAJA NA MIKAKATI MIZITO KUTOKOMEZA VIFO VYA MAMA MJAMZITO

Mwakilishi wa AMREF amesema kutoa mikopo kwa kuwasomesha Wakunga wazalishaji na kuwaendeleza wakunga walioishia kwa ngazi ya cheti lengo kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto wanaozaliwa AMREF imeanzishwa mwaka 1957 na sasa imewasomesha wakunga wengi na wamewapeleka vijijini hivyo wamesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza vifo vya mama mjamzito na mtoto wameiomba serikali na taasisi nyingine wawaunge mkono ili kutokomeza vifo vya mama wajawazito na mtoto

habari picha na  ALLY THABITI

BENKI YA TIB YAWATOA MASHAKA WALIPA KODI

TERESIA SOKA  mkuu wa kitengo cha masoko wa benki ya TIB benki amesema wale wote wanaoagiza mizigo nje ya nji kupitia bandari ya Dar es salaam watalipa kodi zao za mizigo kupitia tawi la benki la TIB lilopo bandarini tena kwa masaa 24 bila kujali kama upo benki zingine TERESIA SOKA amesema watanzania watembelee banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba ili wajipatie huduma mbalimbali kuna aina tatu za TIB benki ya Kwanza inausika na maendeleo mfano miundombinu ya Pili inausika na rasilimali  inajiusisha na ushauri wa uwekezaji na ya Tatu inashuurikka na maswala ya biashara  ambako utoa huduma za kibiashara kwenye taasisi mbalimbali ametoa wito kwa jamii wafunguwe akaunti kwenye benki ya TIB kwaajili ya usalama wa pesa zao na ni benki ya kitanzania


habari picha na  ALLY THABITI

Tuesday 4 July 2017

VIJANA WAITAKA TGNP IWAPE MAFUNZO MALA KWA MALA YA UKATILI WA KIJINSIA

Moja ya vijana  amesemani vvyema TGNP iwape mafunzo kuusiana na ukatili wa kijinsia mal kwa mala kwa ngazi ya chini kwani urawiti,ubakaji,ndoa za utotoni na mimba za utotoni matukio haya yapo mengi sana  pia ameipongeza TGNP  kwa kuwapa mafunzo haya kwani wao vijana watapita kuwaelimisha watu wengine waachane na ukatili wa kijinsia


habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

TGNP YATOA ELIMU KWA VIJANA KWA NGAZI YA CHINI

Mwakilishi wa TGNP amesema  wameamua kuwafikia vijana kwa ngazi ya chini  kwa kuwapa elimu kuusu uwelewa wa kupinga maswala ya ukatili wa kijinsia lengo wawe mabarozi katika kupinga vitendo vya kijinsia zikiwemo ndoa za utotoni , mimba za utotoni, ubakaji ,urawiti na mila potofu haya amezungumza wakati akiwapa semna vijana

habari pixcha na ALLY THABITI

KAMPUNI A GALAXY COMPUTERS YAWATAKA WATANZANIA WANUNUE BIDHAA ZAO

ABUU YASIRI ni mwakilishi kutoka kampuni ya GARLAXY COMPUTERS amewataka watanzania wanunue bidhaa zao ikiwemo wino na bidhaa zingine kwani bidhaa zao ni bora na bei nafuu amewataka watanzania waachane na zana potofu za kutoamini bidhaa mpya asa kutoka kampuni ya GALAXY COMPUTERS ametoa wito kwa serikali iwaunge mkono wajasilia mali wadogo wadogo na watengeneze mazingira rafiki ya ulipaji kodi kwa wafanya biashara

habari picha na ALLY THABITI

KAMPUNI YA TRASTA LIMITED YAWASII WATANZANIA WAACHANE NA ZANA POTOFU JUU YA MIKOPO YA NYUMBA

Haya yamesemwa na ROLANI NGAO ambako amesema kuna aina tatu za mikopo ya nyumba ikiwemo mkopo wa nyumba, ukarabati wa nyumba na kiwanja mikopo hii ulejeshwa kwa muda wa miaka 10 mpaka25 vigezo vya mkopo huu ni kuwa na kipato na amna dhamana yeyote kampuni ya TRASTA LIMITED inajishughurisha na kutoa elimu ya mikopo ya nyumba nchini Tanzania

habari picha na ALLY THABITI

WAKULIMA WAKULIMA WAKITAZAMA MAZAO YA KAMPUNI YA SEED CO KWENYE MAONYESHO YA 41 YA SABASABA

Habari picha na VICTORIA STANSLAUS

KAMPUNI YA MAZAO YA KILIMO YAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA KWA KUTOA MBEGU BORA KWA WAKULIMA

Mratibu wa SEED CO  na uhusino wa kampuni hii amesema SEED CO  wao wanatoa mbegu bora na za kisasa kwa wakulima na zinazo zingatia usalama wa Afya na  tija ya uzalishaji kwa wakulima ambako umsaidi mkulima kupata mazao kwa wingi ali ya hewa ya mabadiliko ya tabia ya Nchi na wadudu imekuwa changamoto kwa wakulima SEED CO inatoa mbegu zao kwanchi za Afrika 15 pia wakazi wa LINDI  na MTWARA  Watafunguliwa maduka na SEED CO  ametoa wito kwa serikali waongeze wigo mpana kwa uwekezaji wa kilimo

habari picha na ALLY THABITI

HALOTEL WALETA OFA KABAMBE KWENYE MAONYESHO YA 41 YA SABASABA

Kampuni ya halotel imeleta ofa kabambe kwa wateja wake ambapo mtu akisajili raini ya halotel kwa shiringi elfu moja anapata dakika 30 ambako atatumia ndani ya miezi 2  haya amesema DANI PREYGOTI afsa masoko wa halotel ivyo amewataka watanzania watembelee banda la halotel kwwen ye maonyesho ya 41 ya sabasaba ili wanufaike na ofa kabambe

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

TIGO YAJA NA OFA KABAMBE MAONYESHO 41 YA SABASABA

Afsa masoko wa TIGO IZRAELI TOROKA amewataka watanzania waende kununua bidhaa za TIGO kwenye maonyesho ya 41 ya sabasaba kwani kuna punguzo kubwa la bei kw3enye bidhaa za TIGO zikiwemo simu za mkononi

habari picha na ALLY THABITI

Monday 3 July 2017

AGRICOM MAONYESHO YA SABASAB YA 41 HIZI NDIO ZANA BORA ZA KILIMO

Habari picha na VICTORIA STANSLAUS

AGRICOM YAJA NA MBINU ZA KUWAKWAMUA WAKULIMA WATANZANIA

ERIKI MIDUNDA  meneja mikakati wa kampuni ya AGRICOM ni kampuni ya kitanzania inayojiusisha  na uuzaji na usambazaji wa vifaa vya kilimo lengo la kuanzishwa kwa kampuni hii mwaka 2009 ni kumsaidia mkulima wa kitanzania  aache kulima kilimo cha kupinda mgongo na badala yake kutumia zana bora za kilimo na za kisasa kutokana na hali duni za wakulima wana wakopesha vifaa vya kulimia ikiwemo matrekta Meneja mikakati wa kampuni hii amewataka watanzania watembelee banda lao lililopo kwenye maonyesho ya saba saba wajionee na wanunue zana za kilimo Hameishukuru serikali ya tanzania kutowatoza kodi pindi wanapo ingiza zana  zao kilimo Pia wanamuunga mkono rais MAGUFULI katika kuelekea Tanzania ya viwanda kwa kuwakopesha zana bora za kilimo wakulima  ametoa wito kwa asasi za kibenki wawakopeshe wakulima kwani kilimo kinakopesheka na kinalipa

habari picha na ALLY THABITI

TPB BENKI NA AICC YAJA NA MIKAKATI MIZITO KATIKA KUTANGAZA UTARII WA TANZANIA

MWENYEKITI WA  TPB BENKI barozi LADISLAUS KOMBA amesema wanaunga mkono jitiada za AICC wanavyo pigania kuleta chombo cha kuleta mikutano nchini kwani italeta tija kubwa kibiashara

habari picha na VICTORIA STANSLAUS

BODI YA UTARII YAFURAISHWA NA UJIO WA CHOMBO CHA KUTAFUTA MIKUTANO YA KIMATAIFA

Mwenye kiti wa bodi ya Utarii Tanzania JAJI MAIKO MIAYO  amesema chombo cha kutafuta mikutano ya kimataifa nje ya nchi kikikamilika kuundwa nchini Tanzania kitasaidia kutangaza na kukuza utarii wetu hapa Nchini kwani chombo icho kitaleta watu wengi wa kigeni na watu awa watatembelea kwenye sekta za kitarii apa nchini zikiwemo mali kale,wanyama na sehemu zingine za asili ivyo ameiomba serikali kusimamia kikamilifu uundwaji wa chombo hiki kwa manufaaa ya Taifa na watanzania kiuchumi

habari picha na ALLY THABITI

AICC YAJA NA MBINU MPYA YA KUONGEZA KODI NCHINI KUPITIA MIKUTANO YA KIMATAIFA

MKUNDE SENYAGA MOSHI mkurugenzi wa masoko wa AICC na JENICC wamekutana na wadau mbalimbali lengo ni kutoa elimu na kuongeza uwelewa kuusu utalii wa mikutano kwani biashara ya mikutano ya utalii inasaidia kwa kiasi kikubwa  kuongeza pato la Taifa ivyo wanaishauri serikali kuunda kwa alaka zaidi chombo cha kutafuta mikutano nje ya nchi kwani kutqasaidia kuongezeka kwa ajira  kwavijana  na mapato na tutapata mikutano zaidi ya 300

habari picha na ALLY THABITI

MABENKI KUCHUANA VIKALI

MAIKO MWITA  kaimu katibu mkuu wa mpira wa kikapu Tanzania ametoa taarifa kwa umma tarehe 15mwezi wa6 mashindano ya mpira wa kikapu yataanza rasmi jijini Dar es salaam benki zipatazo saba zimesibitisha kuwa zitashiriki mashindano haya miongoni mwa benki izo ni NMB,TAB,DTB,CRDB,BIOTI na zinginezo viwanja vitakavyo tumika ni kiwanja cha KIDONGO CHEKUNDU na uwanja wa TAIDFA wa ndani lengo la mashindano haya kudumisha umoja , amani, upendo , utulivu na mshikamano pia bingwa atakae patikana ataenda kuwakilisha nchi kwenye michuano ya Kimataifa ameziasa benki shiriki watumie wachezaji ambao wanafanya kazi kwenye benki zao na si mamluki


habari picha na ALLY THABITI

VIJANA WAMETAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA KUPITIA SEKTA YA KILIMO

MOSES LUKOO afsa mawasiliano wa kampuni ya JATU amesema vijana wa kitanzania wachangamkie fursa kwenye sekta ya kilimo pia amewataka wale wote watanzania wajiunge na JATU kwani kampuni hii ni ya kizarendo na inasaidia katika kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla na inasaidia kujenga Afya na kutokomeza umaskini  mpaka sasa kampuni ya JATU ina mwaka mmoja  na inajumla ya wanachama 1178  na kampuni hii inashuurika na arzeti na kuuza unga wa dona na sembe kwa ujazo mbalimbali amezungumzia changamoto wanazokutana nazo mtaji na dhana potofu za watanzania kwakuto iamini kampuni hii ya JATU  Ametoa wito kwa serikali waisaidie kampuni ya JATU kwakupewa mtaji wa kutosha



habari picha na VICTORIA STANSLAUS

Saturday 1 July 2017

KATIBU MWENEZI WA SIASA WA CCM AMFREI POLEPOLE AFRAHISHWA NA CHAGUZI ZA JUMUIYA ZINAVYOENDESHWA

Katibu mkuu wa uwenezi na siasa wa chama cha  CCM  AMFREI POLEPOLE amesema anafurahishwa na jinsi ya chaguzi za jumuiya mbalimbali zinavyoendeshwa ndani ya chama cha mapinduzi CCM  amesma kuwa chaguzi zimekuwa za uru na haki ametoa rai kwa wanachama wa CCM wazidi kukiimarish chama na kukipigania chama kwa masrai ya chama na Taifa kwa ujumla na wazidi kumuunga mkono MWENYEKITI wa chama cha CCM na ambaye ni rais wa Tanzania  JONH POMBE MAGUFULI kwakulinda na kutetea raslimali za Taifa

habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

KATIBU MKUU WA KAFU MAALIM SEFU AMBEZA PROF LIPUMBA

Katibu mkuu wa chama cha wananchi KAFU  MAALIM SEFU  amesema prof LIPUMBA  wao awajawa kitu kimoja ivyo ni mtu wa kupuuzwa na maneno yake MAAKIM SEFU ameongezea kwa kusema kuwa akaunti ya benki ya NMB ya chama cha  KAFU  bado anayo yeye katibu mkuu amesema haya wakati anaongea na waandishi wa Habari kweye Hotel ya PIKOKU  HOTEL eneo la Baridi posta jijini dar es salaam

habari picha na  ALLY THABITI

WAZIRI JENSTA MUHAGAMA AWATAADHARISHA VIJANA

Waziri wa kazi,ajira,vijanana watu wenye ulemavu amewataka vijana nchini Tanzania waache mala moja kutumia madawa ya kulevya kwani wao ni nguvu kazi ya Taifa ivyo wanapo tumia madawa ayowanapoteza nguvu zao na Afya zao kudhoofika  ivyo kulishababishia Taifa kulega kwa uchumi amesema haya kwenye maadhimisho ya kupiga vita madawa ya kulevya ambayo kitaifa yamefanyika viwanja vya nyerere jijini DODOMA



habari picha na  VICTORIA STANSLAUS

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASIMU MAJALIWA ATOA ONYO KALI KWA WAUZAJI NA WAINGIZAJI WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI TANZANIA

Waziri mkuu wa Tanzania MAJALIWA  KASIMU MAJALIWA amesema wale wote wanaouza na kuingiza  Dawa za kulevya nchini wakikamatwa hatua kali zitachukuliwa dhidi yao kwani dawa izo za kulevya zinapoteza nguvu kazi ya nchi ususani vijana hivyo bila kuwachukulia hatua yeyote wauzaji na waingizaji wa dawa hizo watazolotesha uchumi wa nchi na kudhoofisha mipango ya rais MAGUFULI  kuelekea Tanzania ya uchumi wa viwanda  ametoa wito kwa vijana wenye umri wa miaka15 mpaka 35 wajiepushe na matumizi ya dawa za kulevya Pia ameitaka jamii iwafichue wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya pia jamii iwapeleke vijana wao walioathirika na madawa ya kulevya kwenye vituo na Ospitali kwaajili ya tiba amesema haya siku ya maadhimisho yakupiga vita madawa ya kulevyaambako tarehe29/mwezi wa sita 6 ambako uazimishwa kila mwaka kwa Tanzania imeazimishwa kwenye viwanja vya nyerere jijini DODOMA


habari picha na  ALLY THABITI