MAIKO MWITA kaimu katibu mkuu wa mpira wa kikapu Tanzania ametoa taarifa kwa umma tarehe 15mwezi wa6 mashindano ya mpira wa kikapu yataanza rasmi jijini Dar es salaam benki zipatazo saba zimesibitisha kuwa zitashiriki mashindano haya miongoni mwa benki izo ni NMB,TAB,DTB,CRDB,BIOTI na zinginezo viwanja vitakavyo tumika ni kiwanja cha KIDONGO CHEKUNDU na uwanja wa TAIDFA wa ndani lengo la mashindano haya kudumisha umoja , amani, upendo , utulivu na mshikamano pia bingwa atakae patikana ataenda kuwakilisha nchi kwenye michuano ya Kimataifa ameziasa benki shiriki watumie wachezaji ambao wanafanya kazi kwenye benki zao na si mamluki
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment