Mwenyekiti wa jumuiya ya mabaaria amemuomba rais MAGUFULI aisaidie jumuiya yao katika maswala ya kuwaendeleza kimasomo mabaaria na kuiwezesha kipesa ili iweze kufungua ofisi zao MTWARA , RINDI , BAGAMOYO ,MAFIA , TANGA na ZANZIBAR pia ameipongeza serikali kwa kuweza kuwatambuwa mabaaria jumuiya hii ina zaidi ya wanachama elfu5000 mikakati walio nayo kuwatafutia ajira mabaaria,kuwaendeleza kimasomo na kufungua web sait lengo waweze kujitangaza kimataifa changamoto wanazokutana nazo ni uhaba wa pesa na kutoajiliwa kwa mabaaria wao ametoa wiito kwa wadau mbalimbali na serikali wawaunge mkuno kwa hali na mali ili waweze kufanikisha malengo yao ili waeze kuwasaidia watanzania kupata ajira na kukuza uchumi wa nchi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment