Wednesday 6 July 2022

SIDO YATOA MAFUNZO KWA KIWANGO KIKUBWA NCHINI NA KUTEKELEZA FARSAFA YA KAIZENI KWA VITENDO

 

Kaimu mkurugenzi wa mafunzo SIDO Steven George Pondo amesema kwa kiwango kikubwa SIDO imeweza kutoa mafunzo kwenye mikoa 25 kuhusu utengenezaji wa bastiki, mishumaa na vitu vingine ambako watanzania zaidi elfu 21 wamefikiwa na mafunzo ya SIDO. 

Ametoa kwa jamii kutuitumia SIDO kwaajili ya kujikwamua kiuchumi kwaajili ya kuondokana na umaskini ambako faida za kupata mafunzo SIDO unaonganishwa na taasisi za kiserikali, unatafutiwa masoko na unaunganishwa na fursa mbalimbali pia ameelezea namna SIDO wanavyotekeleza kwa vitendo farsafa ya KAIZENI nchini Tanzania ambako SIDO ni waratibu wa KAIZENI na washauri wakuu.

Tangu mradi huo uwanze umekuwa na mafanikio katika viwanda na kampuni.

Amesema haya kwenye maonyesho ya 46 ya Sabasaba

habari picha na Ally Thabith

Tuesday 5 July 2022

THE GAME CHANGERS TEAM





Habari picha na Ally Thabith
 

MENEJA LEAH MAYAYA AWAKARIBISHA WATU KUTEMBELEA BANDA LA SIDO

Meneja Leah Mayaya awataka watu kutembelea banda la sido na kununua bidhaa zake kwenye maonyesho ya  46 viwanja vya sabasaba

kwa mawasiliano piga namba 0765010250.


Habari picha na Ally Thabith

Monday 4 July 2022

SIDO YAWEZESHA WAJASILIAMALI

TEGO ISMAIL afisa mikopo wa SIDO amesema wanatoa mikopo kwa wajasiliamali wadogo na wakati ambako mpaka hivi sasa wametoa kiasi cha bilioni 88.8 na kuradi wa SIDO na CRDB wametoa bilioni 1.9, Tego Ismail amewataka watu kutembelea banda la SIDO kwenye maonesho ya 46 ndani ya viwanja vya sabasaba.



Habari picha na Ally Thabith

WAZIRI MKUU AIPONGEZA WIZARA YA UTAMADUNI SANAA NA MICHEZO

 

















Habari Picha na Ally Thabith


























Friday 1 July 2022

WAZIRI MCHENGELWA AUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS KWENYE TAMANA LA UTAMADUNNI NA ATAJA KAMATI YA MILABA KWA WASANII

 









Habari picha na Ally Thabit

TUME YA KUZIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA YATANGAZA VITA

 







Kamishna Jenerali Gerald Musabila Kusaya wa tume ya kuzibiti na kupambana na dawa za kulevya


Amesema yeyote atakaye kamatwa akiuza, kusambaza, kusafirisha au kutumia dawa za kulevya watamkamata na kumfungulia mashtaka tangu tume ianzishwe ina miaka mitano imekamata kilo 16600 na mwaka jana imekamata kilo elfu nane (8000) za dawa za kulevya amewataka watu kutumia namba ya simu ya 119 tena bure kwaajili ya kuwafichua wauzaji wa dawa za kulevya, kamishna ameongezea kwa kusema wamezibiti uingizaji wa dawa za kulevya kupitia viwanja vya ndege pamoja na bandari changamoto wanayokutana nayo baharini kuna bandari bubu Zipatazo mia tano (500) pia atakaye toa taarifa kutakuwa na usili mkubwa.

Maswala ya kuandika vipeperushi pamoja na kitabu kitakacho zinduliwa kwa maandishi ya nukta nundu kwaajili ya wasioona tume inavifanyia kazi nae kwa upande mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala amewataka watu kutotumia madawa ya kulevya kwani yanapoteza nguvu kazi ya Taifa.

habari Picha na Ally Thabit