Kaimu mkurugenzi wa mafunzo SIDO Steven George Pondo amesema kwa kiwango kikubwa SIDO imeweza kutoa mafunzo kwenye mikoa 25 kuhusu utengenezaji wa bastiki, mishumaa na vitu vingine ambako watanzania zaidi elfu 21 wamefikiwa na mafunzo ya SIDO.
Ametoa kwa jamii kutuitumia SIDO kwaajili ya kujikwamua kiuchumi kwaajili ya kuondokana na umaskini ambako faida za kupata mafunzo SIDO unaonganishwa na taasisi za kiserikali, unatafutiwa masoko na unaunganishwa na fursa mbalimbali pia ameelezea namna SIDO wanavyotekeleza kwa vitendo farsafa ya KAIZENI nchini Tanzania ambako SIDO ni waratibu wa KAIZENI na washauri wakuu.
Tangu mradi huo uwanze umekuwa na mafanikio katika viwanda na kampuni.
Amesema haya kwenye maonyesho ya 46 ya Sabasaba
habari picha na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment