Saturday 5 September 2020

BODI YA MIKOPO YAPATA MAFANIKIO MAKUBWA

 Veneranda Malima Afisa Mawasiliano Bodi ya Mikopo Tanzania amesema kupitia Maonyesho ya Vyuo Vikuu yalioandaliwa na TCU wamefanikiwa kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwa watu waliokuwa wanadaiwa na Bodi ya Mikopo na matokeo ni mazuri . Pia wamewakumbusha wanafunzi wanaoomba Mikopo kwa mwaka wa Masomo mwaka2020  2021kukamilisha taarifa zao kwa wakati  mfano vyeti vya kuzaliwa Ambavyo vimethibitishwa na Rita na vyeti vya Vifo vya wazazi wao na waviwasilishe kwa wakati na amewataka kutekeleza maagizo haya ya Bodi ya Mikopo kabla ya kufika kimono tarehe 10 mwezi9 mwaka 2020 wasipo Fanya hivi watakosa sofa za kupata Mikopo ambako app awali waliokuwa elfu14 waliokuwa awajawasilisha taarifa zao mpaka leo tarehe 5mwezi 9 2020 wanafunzi elfusita 6000 wamewakumbusha taarifa zao Bodi ya Mikopo hivyo Veneranda ametoa wito kwa wanafunzi elfusita nane8000 wawasirishe taarifa zao Bodi ya Mikopo haraka Sana ili wapate Fedha kwaajili ya kupata elimu amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm


Habari na Ally Thabiti

MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA YAIKUMBUSHA JAMII WAJIBU WAKE

Masozi Nyerenda ni Mratibu wa Mfuko wa Kuendeleza Jamii na Meneja was Miradi ya Elimu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania .ameitaka Jamii kulinda,kusimamia na kutunza Rasilimali  za Elimu mfano majengo,vifaa vya kufundishia na vitu vinginevyo kwani Mamlaka inatoa Fedha nyingi katika ujenzi na kununua vitu . pia
Ameitaka Jamii kuweza kutoa michango mbalimbali ya kifedha na Mali kwenye Mamlaka ya Elimu Tanzania  kwani Mamlaka hii imeundwa kwa Sheria ya Bunge mamba 8 ya mwaka 2001 ambako imepewa Mamlaka ya kusimamia Mfuko wa Elimu Tanzania na mwaka 2017 wizara ya Elimu ilitoa Mamlaka ya kuendeleza mfuko wa
 Ujuzi  . Na watu wenye ulemavu wamewezeshwa kujengewa mabweni,madarasa na vifaa vya kujifundishia  .  amesema haya kwenye maonyesho ya 15 ya Vyuo vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm


Habari picha na Ally Thabiti


CHUO KIKUU CHA CATHOLIC MBEYA CHAJA KIVINGINE


Tamiloi Janga ni Mwalimu wa Masoko na Biashara amesema Chuo chao kimepanda hadhi ivyo anawataka watu wajiunge kupata Masomo ya Utawala wa Biashara,  Sheria,Teknolojia ya habari na Mawasiliano,Uhasibu na Frdha,Ugavi na Manunuzi,Usimamizi Masoko,Rasilimali watu,Ujasilia Mali,Maendeleo ya jamii na Ukutubi,Sayansi taarifa na tehama .kwa Mawasiliano zaidi S.L.P 2622
Mbeya- Tanzania
Simu:+255 2525004240 
Ofisi ya Udahili 
0768341328
0764622482 
Barua Pepe:admissions@cucom.ac.tz
www.cucom.ac.tz
Amesema gharama zao ni nafuu sehemu za kulala zipo za kisasa anawakaribisha wote 
Amesema haya kwenye maonyesho ya 15 ya Vyuo vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm
 

Habari picha na Victoria Stanslaus

CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI CHABAINISHA MAMBO MAZITO

Ereni Mtui Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano Chuo Kikuu cha AFYAna SAYANSI SHIRIKISHI   Muhimbili  amesema katika kuunga juhudi za rais  Magufuli wanatoa kozi 79 za Udaktali bingwa Lengo wapate wataalam wengi ili waweze kuwatibia  watanzania 
nchini na kuokoa fedha za Watanzania kwenda kutibiwa nje ya nchi pia chuo hiki kimefanya tafiti ya series mundu,HIV,material na tafiti zao zimesaidia kutengeneza Sera Bora na mzuri kwenye wizara ya Afya


Habari picha na Ally Thabiti
 

GLOBAL EDUCATION LINK LTD YAWATOA MCHECHETO WATANZANIA

Rejina Rema amewataka watu kuweza kutumia Global Education Link Ltd ili waweze kuwapeleka watoto wao kwenda kusoma kwenye Vyuo mbalimbali vya nchi tofauti mfano India ,China na nchi zingine .pia amewatoa hofu kwani gharama zao ni nafuu ,ulinzi na usalama wa wanafunzi wakienda kusoma nje ya nchi ni mzni mzuri, mkubwa na wauhakika  na wanafunzi wanaofisi pelekwa na Global Education Link Ltd wanaludi Tanzania wakimaliza Masoko Yao na wanapata fursa mbalimbali za ajila na ifikapo tarehe 19 mwezi wa 9 mwaka2020 Global Education Link Ltd watakuwa na maafari viwanja vya mlimani city jijini dsm kwa wanafunzi wote walihitimu Masoko nje ya nchi
ametoa wito makundi mbalimbali mfano watu wenye ulemavu kukitumia Global Education Link Ltd kwaajili ya kupata elimu nje ya nchi kwani Wana uzoefu mkubwa   
  Amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yavyuo vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm

Habari picha na Victoria Stanslaus



CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR CHABAINISHA MAFANIKIO RUKUKI

Sultan Said Omar Assistant Lecturer&ICE Coordinator,ZANZIBAR University amesema mafanikio waliopata ni kutoa wafanyakazi wengi serikalini,wamefanya tafiti zinazo tatua changamoto wa wananchi ,kuwatengeneza  wanafunzi kujiajili nasasa wameongeza proglam za kozi kutoka 3 mpaka 15 ivyo amewataka watu kujiunga na Chuo chao kwaajili ya kupata elimu bora na yenye tija .Lengo lao kwenye maonyesho haya wawasajili wanafunzi 200 wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa .pia chuo hiki kinatoa Ushauri ametoa wito kwa watu kuweza kukitumia chuo hiki ili waweze kujiajili na kuajiliwa amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU viwanja vya mmnazi mmoja jijini dsm 

Habari picha na Victoria Stanslaus

 

Friday 4 September 2020

STANLEY MNDASHA ALEZA MADISON YA CHUO CHAO

Afsa Masoko na Udahili Chuo Kikuu cha Umoja wa Mataifa Afrika Tanzania Stanley Mndasha amewataka watu kujiunga na Chuo Chao kwa kina fursa mbalimbali za ajila na kwenda kusoma nje ya nchi.  amewatoa ofu kuwa gharama zao ni nafuu amesema haya Kwenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU mnazi mmoja Jijini dsm


 
habari picha  na Ally Thabiti


 

CHUO MKUU CHA USHIRIKA MOSHI CHATS NENO

Dr Jastini ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu Endelevu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi amesema ni vema wana Ushirika wawatumie wataalam wanaotoka chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Lengo waweze kuendesha umoja wao wa Ushirika kwa uweredi ILI kuepuka migogoro ya Mara kwa Mara. pia chuo hiki kinafanya tafiti zenye Tija katika Jamii ametoa rai kwa Watu kujiunga na chuo kikuu cha Ushirika Moshi Kwani watapata Elimu popote walipo. amesema haya Kenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU mnazi mmoja Jijini dsm  

 
habari Pichai na Ally Thabiti

 

CHUO CHA UFUNDI ARUSHA CHAJA NA MIKAKATI MIZITO

Afsa Uhusiano Chuo cha Ufundi Arusha ndugu Gastoni amesema wanaunga mkono juhudi za rais Magufuli  kufika Tanzania ya viwanda chuo Chao Kinatoa diglee 5 na diploma13 na kozi fupifupi pia wanafanya tafiti mbalimbali kwaajili ya kutatua changamoto katika Jamii mfano .wana fimbo yaa kumuongoza mtu asiye ona. Lengo lachuo hiki kuandaa wataalam ILI waweze kufanya kazi Kenye viwanda vya  tanzania .chuo hiki kinashiliki maonyesho ya vyuo vikuu kwa Mara ya 11 Gastoni ametoa wito kwa wazazi kuwaimiza watoto wao kusoma Masomo ya sayansi na amewataka Watu kujiunga na Chuo cha Ufundi Arusha ILI waweze kupata ujuzi wa kujiajili na kuajiliwa amesema haya Kenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja Jijini dsm 


habari Pichai na Ally Thabiti

 

CHUO KIKUU URIA CHAWATAKA WATU WENYE ULEMAVU KUCHANGAMKIA FURSA

Mkurugenzi Mkuu wa Uhusiano DrMohamedi Maguo amesema Kuwa Chou Kikuu Uria

kimeanzishwa mwaka 1992 na kuanza kazi rasmi mwaka 1994 kwa sheria ya Bunge namba 17 ambako wanatoa elimu yao kwa masafa ya wakulima,wafanyabiashara,wavuvi na makundi mengineyo. Dr Mohamedi Maguo amesema Kuwa pia wanatoa elimu kwa  makundi maalum wakiwemo watu Wenye ulemavu wakiwemo watu wasio ona Ambao wanajifunza kompyuta kundi hili nalo waweze kujiajili na kuajiliwa .  Ametoa wito kwa watu kuwapatia watu wenye ulemavu fursa mbalimbali ikiwemo elimu ili waweze kujikwamuwa kiuchumi Dr Mohamedi  Maguo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Masoko Chuo Kikuu Uria amewataka watu wenye ulemavu na wasio na ulemavu kujiunga na Chuo Kikuu Uria  amesema Jaya kwenye Maonyesho ya 15 yalioandaliwa 
 na TCU


habari picha na Ally Thabiti
 

CHUO KIKUU CHA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE (SUA) KUIPONGEZA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

 

Mkurugenzi wa shahada za awali SUA, Nyambilila Amuli(kulia) 

Mkurugenzi ndg, Nyambilila ameipongeza sana serikali ya awamu ya tano kwa kuwawezeshea ujenzi wa maabara ya kisasa kabisa. Ujenzi wa maabara hiyo umeleta tija na manufaa makubwa katika kufanya tafiti zao. Pia ameongeza kua tafiti mbalimbali zikiwemo za kilimo,ufugaji na uvuvi ni eneo ambalo wamekua wakijikita zaidi. Hivyo vijana wote nchini ni fursa kwao kujiunga katika chuo chetu(SUA), kwani wataweza kujiajiri wenyewe pindi wamalizapo chuo bila ya kusubiria ajira serikalini.
Chuo kikuu cha SUA ni miongoni mwa vyuo bora kabisa ukanda ya Afrika mashariki na kati kwa kuwandaa wataalamu mbalimbali katika fani za kilimo na ufugaji. Chuo hicho kinajivunia vijana wengi nchini waliotoka chuoni hapo na kufanya mengi makubwa kwenye jamii yetu
Pia chuo cha SUA kimekua kikifanya tafiti mbalimbali kuangalia udongo unaofaa katika kilimo na utafiti wa mbolea sahihi.
Amemaliza kwa kuishukuru sana serikali kuwapatia trekta ambazo zimekua na mchango mkubwa sana. Serikali pia imewezesha kupatikana kwa tawi lingine la chuo hicho lililopo katavi na kua na uwezo wa kudahili vijana wengi zaidi
Kwa vijana wote wenye maono makubwa na kilimo wanakaribishwa sana kujiunga na chuo cha SUA kwani kina ubora mkubwa sana katika sekta hiyo
Habari picha na ally thabiti

Wednesday 2 September 2020

CHUO CHA USHIRIKA MOSHI KUWAINUA VIJANA KIUCHUMI

 

Chuo Kikuu cha  ushirika moshi kinawaalika vijana wote wenye sifa waweze kujiunga na chuo hicho kwani kinazo sifa zote za kuweza kuwaandaa vijana ili kuweza kujikwamua kiuchumi. Akiongea na mwandishi wa habari Dr Faustine Panga katika banda lao amesema kua,, wanampango mkakati mkubwa sana wa kusaidia taifa kupitia vijana ambao watakwenda kujiunga na chuo hicho. Dr Faustine Panga amesema kwamba wanaofisi  kwenyemikoa 13   Tanga,  Mtwara Tabora  ,Ruvuma  na mikoa mingineyo Tanzania bara  pia wanatoa mafunzo kwa njia ya Masafa 

Habari picha na ally thabiti

CHUO KIKUU IRINGA MAMBO NI MOTO

 

Akiongea na mwandishi wa habari, amewakaribisha wanafunzi wote wafike waweze kupata huduma bora katika matawi yao yote likiwemo lililopo Zanzibar ili kuweza kupata maarifa na ujuzi kutoka katika chuo hicho. Chuo kikuu cha Iringa kinazo sifa zote ambazo zitamfanya mwanafunzi kuwa mjuzi na mbunifu katika nchi yake na kuweza kuinua uchumi wa taifa kiujumla

Habari picha na Ally thabiti

Tuesday 1 September 2020

CHUO CHA KIISLAM MOROGORO KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WOTE

 Afsa Habari Msaidizi Hamadi  Hasani amewataka Watu kujiunga na chuo Kikuu cha ki Islam Morogoro kwaajili ya kupata Elimu Bora na yenye Tija Chuo hiki kinazingatia maswala ya Mahadili. pia chuo iki kinaunga mkono juhudi za rais Magufuli katika kufika Tanzania ya viwanda kwa kuandaa wataalam wenye uwezo wa kufanya kazi katika nyanja  mbalimbali mfano sheria  na katika maswala ya habari ambako chuo kikuu cha ki Islam kimetenga millioni 90 fedha za kununua vifaa vyakisasa vya kufundishia wana habari pia amewatoa ofu watu kuwa chuo hiki kinachukuwa wa Islam na wasiowaina sifa zote na uwezo wa kuwaandaa wanafunzi kuwa wabunifu na kuweza kusaidia taifa lao katika kuinua uchumi wa yetu 

Wakiyasema hayo katika banda lao lililopo mnazi mmoja jijini dar es salaam wanawakaribisha wanafunzi hata wenye matatizo kama ulemavu kwani chuo kina mazingira mazuri ya watu wenye ulemavu pia

Habari picha na Ally thabiti 

ST JOHN'S UNIVERSITY OF TANZANIA KUSAIDIA UCHUMI WA VIWANDA NCHINI


 Chuo kikuu cha St john's university kimewaomba wanafunzi wote nchini waweze kujiunga na chuo hicho ili waweze kuungana na kauli mbio ya nchi ya kuweza kuinua uchumi wa viwanda 

Akiyasema hayo katika banda lao lililopo maeneo ya mnazi mmoja jijini dar es salaam amasema kua vijana wajitokeze kwa wingi waweze kusaidiwa kufanya maombi ili kuweza kujiunga na chuo hicho 

Habari picha na Ally thabiti

MZUMBE UNIVERSITY YAJA NA MIPANGO MIZITO

 

Chuo kikuu cha mzumbe kinapenda kuwakaribisha wanafunzi wote walio hitimu kidato cha sita na wenye sifa waweze kujiunga na chuo hicho kwani kina ubora wa hali ya juu sana kuweza kuwafikisha katika malengo yao.

Akiyasema hayo mmoja wa viongozi wa chuo hicho madam Rose amesema chuo cha mzumbe kina sifa zote na ubora wa hali ya juu sana wa kutoa maarifa kwa wanafunzi wake 

Habari picha na Ally thabiti

Thursday 27 August 2020

TCRA YATOA UJUMBE MZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU MWAKA 2020

James Kilaba Mkurugenzi Mkuu wa Mamraka ya  Mawasiliano Tanzania (TCRA)  amesema tupo duniani  Kwa mapenzi ya Mungu ivyo amewataka wanahabari,wanasiasa na watu wengine  kulinda na Kuitunza Amani  tulio nayo kipindi  hiki cha Uchaguzi na Kampeni  Tanzania 
. Amesema TCRA imetoa   leseni  Kwa vyombo vya habari Lengo waelimishe jamii ,watoe ujumbe ,waburudishe na waweze kuwapa habari watu  hivyo amewataka Wana habari na wamiriki wa vyombo vya habari wazingatie na kufuata  taratibu, kanuni na Sheria za Mahudhui  ya leseni  zao Pia amewataka kuzingatia kanuni za Uchaguzi za mwaka 2015 kanuni ya 39 na vifungu vyake ambako Tume ya Uchaguzi Tanzania ndio yenye Mamlaka ya Kutangaza na kutoa taarifa za ushindi wa Wagombea Kwa ngazi zote za Uchaguzi  amesema haya wakati akiongea na Wana habari  wakati akitoa taarifa za kikifungia kituo cha Clauds  Midia upande wa Redio na TV kuanzia tarehe 28 Mwezi 8 mpaka tarehe 3 Mwezi wa 9 Kwa kutotoa huduma zozote za matangazo  baada ya kukiuka kanuni za Mahudhui za TCRA na Kanuni za Uchaguzi za Tume ya  Taifa ya Uchaguzi Tanzania


Habari picha na Ally Thabiti



 

TMHS YAGUSWA USHIRIKISHWAJI WA WATU WENYE ULEMAVU

Mkurugenzi wa Taasisi ya TMHS Dr Chakou Halfani amesema katika maswala ya mazingira  watawashirikisha watu wenye Ulemavu mbalimbali .Lengo watu wenye Ulemavu waweze kuzitambuwa na kuzichangamkia fursa mbalimbali zinazotokana  na taka  pia waweze kujikinga na kujikinga na hathari za taka katika miili Yao  

Habari picha na Victoria Stanslaus


 

LIPUMBA AWEKA BAYANA JUU YA PINGAMIZI LAKE

 Mwenyekiti wa Chama cha CUF prof Iblaim Aluna Lipumba amesema pingamizi aliloekewa na Mgombea mwenzake Kwa nafasi ya Urais kupitia Chama cha CHADEMA alikuwa na mashiko . Amewataka Wana CUF kujiandaa na kampeni  za Uchaguzi 


Habari Victoria Stanslaus

Wednesday 26 August 2020

HENRY KAZULA AITAKA JAMII KUCHANGAMKIA FURSA YA TAKA

Mkurugenzi Mtendaji Henry Kazula wa Taasisi ya JIELIMISHE KWANZA amewataka watu nchini Tanzania watenge taka ili waweze kuziuza wapate pesa  .Changamoto wanazozipata katika ujeleshwaji wa taka ni tabia za watu ,mifumo mibaya ,wananchi kutoka na uwelewa,gharama kubwa, uwajibikaji mdogo na Kanuni na Sera si rafiki .taasisi Yao inawapongeza uwezo  kuusiana na maswala ya taka 

Habari picha na Victoria Stanslaus

 

TAASISI YA TMHS YAGUSWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA TAKA NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji Dr Chakou Halfani wa Taasisi ya TMHS amesema uzarishaji wa taka tani elfu kumi 10 kinachozalishwa kwa siku Mkoa wa Dsm ni kikubwa mno na ifikapo mwaka 2025 utakuwa tani elfu 12 Kwa siku ndio mwana wamekuja na mikakati ya kutoa elimu Kwa watu ili wazitumie Kwa Lengo 
Taka la kujiajili na kujikwamuwa kiuchumi  .Mkurugenzi Chakou Halfani  anaamini taka si u uchafu  bali nisehemu ya watu  kujipatia kipato amesema haya jijini Dsm kwenye Mkutano wa wadau wa Taka,serikali na watunga Sera 

Habari picha na Ally Thabiti


 

MKURUGENZI WA BARAZA LA MAZINGIRA AIPONGEZA TAASISI YA MTHS

 Mkurugenzi wa Baraza la Mazingira Tanzania (NEMC) Dr  Eng Gwamwaka  amesema kitendo cha taasisi ya TMHS Kuwakutanisha wadau wa mazingira kujadili na kuweka mikakati ya kupunguza taka nchini ni kizuri kwani Kinatoa fursa ya watu kupata ajira kupitia taka ,kupunguza gharama za kuagiza Mali ghafi kutoka nje ya nchi huku mi kumuunga mkono rais Magufuli kufika Tanzania ya Viwanda 

Habari picha na Victoria Stanslaus


Tuesday 25 August 2020

MAAFSA WA JESHI WAAGWA

 Maafsa wa Jeshi la wananchi nchini Tanzania (JWTZ) wameagwa baada ya kufika kikomo cha kustaafu ambako wapate 16 Mameja Jenerali6 Blegedia Jenereli9 na Ruteni Jeneraki1 ambaye Pour Peter Massao ambaye aliekuwa mkuu wa Chuo cha Usalama wa Taifa Kunduchi jijini Dsm  .Mery Hiki bregedia Jenerali aliekuwa Mwambata wa Jeshi nchini Burundi akiiwakilisha Tanzania ameishukuru serikali ya Tanzania Kwa kuvijali na kuvisimamia Vyombo vya Ulinzi na Usalama Nae Hawa ISA bregedia Jenerali ameahidi kutekeleza Kwa Vitlendo Yale yote yaliofanywa na watangulizi wao  . Name  mkuu majeshi  Ruteni Jeneraki1  Venasi Mabeo ameshirikiana kwenye kuwaahidi maafisa wa Jeshi  Eneo la Uhasibu Temeke jijini Dsm

Habari picha na Ally Thabiti

KAMPUNI YA B & F GLOBAL AWAKUTANISHA WADAU MBALIMBALI

 Bruno Kanyogi Mkurugenzi wa Kampuni ya  B&F GLOBAL amesema Lengo la kukutana na wadau mbalimbali ni kuunga mkono juhudi za rais Magufuli katika maswala ya miundombinu ambako wanamuunga kuwa lazima kuwepo na  ustaamilivu wa miundombinu kwaajili ya Uchumi na Maendeleo Kwa Taifa letu . Amewataka watu mbalimbali kuunga mkono juhudi za rais Magufuli


Habari picha na Victoria Stanslaus

Monday 24 August 2020

WARIOBA AKEMEA RUSHWA

 Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Josefu Sinde Warioba amesema watu waongeze mkazo na bidii katika Vita ya rushwa wasiiachie serikali peke yake amesema rushwa ikemewe Kwa nguvu zote amesema haya kwenye kongamano lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBU Ya MWALIMU NYERERE

Habari picha na Ally Thabiti

ABASI TARIMBA AAHIDI MAZITO NDANI YA YANGA

 Mkurugenzi Mkuu wa Sport Pesa Abasi Tarimba amesema Kuelekea wiki ya mwanangu wataelekea YANGA Kwa Hali na Mali na wataendelea kuwathamini 


Habari picha na Victoria Stanslaus

YANGA YASHUSHA VIFAA

 Wachezaji kutoka FS Vita ya Kongo Twisira Kisinda na Tonombe pichani wakionekana kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere wakipokelewa  na wapenzi,washabiki  ,,wanachama na  viongozi wa YANGA 

Habari picha na Victoria Stanslaus

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE YAJIVUNIA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete prof Muhamedi Janabi amesema tangy ianzishwe taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ambako watu walikuwa wanatumia shilingi milioni 8 Kwa sasa inatumika milioni 2na laki8 .pia watu wanatoa nje ya nchi kuja kutibiwa Tanzania ameipongeza CRDB BANK Kwa kutoa milioni Mia mbili kwaajili ya matibabu ya Moyo Kwa watoto kupitia CRDB BANK MARATHON
 

Habari picha na Victoria Stanslaus

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UTUMISHI NA UTAWALA BORA ATOA NENO

 Fransisi Maiko wa Wizara ya Rais Utumishi na Utawala Bora  amesema watanzania Wasichague viongozi watoa rushwa kwenye Uchaguzi huu kwani atoletewa Maendeleo na sauti zao hazitosikika amesema haya kwenye kongamano lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBUt ya MWALIMU NYERERE KIGAMBONI jijini Dsm


Habari picha na Victoria Stanslaus

CAJ MSTAAFU ABAINISHA MASWALA YA RUSHWA

 Rudoviki Uto amesema rushwa ina madhara makubwa ambako unafanya mtu kukosa haki,kuzorota Kwa demoksia na wananchi kukosa Maendeleo ivyo amewataka watu wote nchini kupinga,kuzuia na kupambana na rushwa kwaajili ya Maendeleo ameupongeza Uongozi wa Chuo cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE  kufanya kongamano kuusu rushwa kwani wameweza kuwajengea uwezo washiriki jinsi ya kupambana na kuzuia rushwa na  namna ya kutambua madhara ya kupokea na kutoa rushwa  amewataka washiriki kuwa mabarozi katika kupambana na rushwa amesema haya KIGAMBONI jijini Dsm

TAKUKURU TEMEKE YABAINI MIKAKATI MIZITO

 Mkuu wa TAKUKURU kutoka Temeke  Ndugu Kesi amesema katika mapambano ya rushwa wameanzisha Mabaraza ya kupinga rushwa katika shule za msingi na sekondari . Pia amesema wameweza kuwajengea uwelewa wa wa w kupinga rushwa  ameahidi kuwa swala la kutandika vipeperushi vinnavyozungumzia maswala ya rushwa wataandika Kwa Nukta Nundu ili watu wasio  Ona washiriki kikamilifu katika mapambano ya rushwa uku akiwataka watu kupiga namba ya Simu 113 wakibainika Vitendo vya rushwa amesema haya kwenye kongamano la kupinga rushwa lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KIGAMBONI jijini dsm 


Habari picha na Ally Thabiti

TAKUKURU YAFUNGUA MILANGO

Mkuu wa TAKUKURU Devota Miayo amewataka Wana Kigamboni wakibainika kuna swala la Rushwa iwemtu anaombwa au anatoa rushwa watoe taarifa Kwa kupiga namba ya Simu 113  ametoa wito Kwa watanzania  vitaya rushwa si ya TAKUKURU peke Yao Bali ni ya wote kwani rushwa no adui wa haki amesema haya kwenye kongamano lililoandaliwa na Chuo cha KUMBUKUMBU ya MWALIMU NYERERE Kigamboni jijini Dsm

Habari picha na  Ally Thabiti
 

CRDB BANK YAAIDI MAZITO

 Afsa Mwandamizi wa Mawasiliano na  Uhusiano Imanueli  amesema wataendeleza CRDB MARATHON miaka yote .Lengo Kuu la mbio hizi ni kuokoa maisha ya Watoto wenye matatizo ya Moyo


Habari picha na Victoria Stanslaus

BARAZA LA MAASKOFU LAITAKA TUME YA UCHAGUZI KUWEKA MASINGIRA RAFIKI

 Katibu  Mkuu wa Baraza la Maaskofu nchini Tanzania Charles Kitima  ameitaka Tume ya Uchaguzi kupelekea vifaa vya kupigia Kura Kwa wakati na wafungue vituo mapema .Lengo vulugu Isitokee amewataka wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu  na lugha za matusi itawezesha kulinda na kutunza Amani iliyopo  amesema haya kwenye Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dsm


Habari picha na Victoria Stanslaus

TUNDU LISU AWEKWA KIKAANGONI NA UHAMIAJI

 Kamishina wa Uhamiaji Ana Makakala amesema katika kipindi iki cha Uchaguzi Uhamiaji wataangalia Urais wa Wagomb Kwa ngazi ya Udiwani,Ubunge na Urais Kwa vyama vyote vya siasa .Lengo kupata viongozi wenye Urais wa Tanzania  kwaajili ya Ulinzi na Usalama wetu .amesema swala la Tundu Lisu na kuchukua uraia wa Ubirigiji wakati anaumwa wakati anaumwa awawezi wakalizungumzia  kwani wakati wake bado ameahidi kuwa watatoa elimu ya uraia Kwa wapiga Kura na Wagombea amesema haya kwenye Mkutano Ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dsm 


Habari picha na Victoria Stanslaus

Wednesday 19 August 2020

BAKWATA YAKEMEA VIKALI UVUNJIFU WA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Isa Othmani Isa kutoka Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) ameitaka Tume ya Uchaguzi Tanzania ,Vyama vya Siasa ,Jeshi la Polisi ,Msajili wa Vyama vya Siasa,UHamiaji na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama Kuendesha na Kusimamia Uchaguzi bila Upendeleo Lengo tuilinde na Kuitunza Amani tulio nayo kwani kuna maisha baada ya Uchaguzi amesema haya kwenye mkutMku Ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi Tanzania uku wadau mbalimbali wakishika jijini Dsm 

Habari picha na Victoria StanslausKuuu
 

MZEE JOSEFU BUTIKU ATEMA CHECHE

Mzee Josefu Butiku Mkurugenzi wa Taasisi ya MWALIMU NYERERE amewataka viongozi waache ubinafsi ,kutisha watu,kuogopwa na ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi Kuendesha Uchaguzi wa Uhuru na haki na wasipitishe watu Kwa shinikizo la Dora . Name  Mkurugenzi Mtendaji wa TAKUKURU John Mbunge amevitaka vyama vya siasa kutoludia rushwa ili wachaguliwe endapo wakibainika hatua Kali zitachukuliwa dhidi Yao Wamesema haya kwenye Mkutano Ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzani  ambako wadau mbalimbali wameshiriki jijini Dsm 
Habari picha Victoria Stanslaus
 

JESHI LA POLISI LABAINISHA MIKAKATI MIZITO KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IJP) Saimoni Siro amesema wamejipanga vizuri katika swala la kulinda Amani kipindi hiki cha Uchaguzi uku akiitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kufikisha vifaa vya Uchaguzi Kwa wakati na vituo vifunguliwe Kwa muda sahihi hii itasaidia Kutokiona vurugu amesema haya kwenye Mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na wadau mbalimbali.ikiwemo Jeshi la Polisi ,viongozi wa Dini na wadau wengine



Habari picha na Victoria Stanslaus

PICHANI WATU WENYE ULEMAVU WAKIPATA MAFUNZO KABAMBE KUTOKA TUME YA UCHAGUZI

 Watu wenye Ulemavu wa Aina mbalimbali wakielezwa namna Tume ya Taifa ya Uchaguzi hatua walizofikia Kwa vifaa vya kupigia Kura watu wenye Ulemavu


Habari picha na Victoria Stanslaus

ALLY THABITI APONGEZA KUPATA BILIONI 331

 Ally Thabiti  ni Mwanachama wa Chama cha Wasio Ona nchini Tanzania (TLB) ameipongeza serikali Kwa kutenga kiasi cha bilioni 331 kwaajili ya Uchaguzi . Fedha hizi ni za watanzania  pia ameishukuru Tume   ya Uchaguzi Tanzania kwa kuweka mazingira rafiki na wezeshi Kwa watu wenye Ulemavu kwenye Uchaguzi Mkuu 


Habari picha na Victoria Stanslaus

WATU WENYE UHALBINO WAIPONGEZA TUME YA UCHAGUZI

 Musa Kabimba Katibu Mkuu wa Chama cha watu wenye Uhalbino Tanzania ameupongeza uongozi wa Tume ya Uchaguzi Tanzania Kwa kuwashirikisha  watu wenye Ulemavu na  makundi mbalimbali kushiriki kwenye Uchaguzi wa mwaka huu katika kumchagua Viongozi Bora . Ametoa wito Kwa Tume ya uchaguzi kuendeleza kushirikiana na watu wenye Ulemavu katika Shughuri mbalimbali za Kitaifa 



Habari picha na Victoria Stanslaus

TUME YA UCHAGUZI YASIKILIZA KILIO CHA WATU WENYE ULEMAVU

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Semisteus Kaijage amesema wameweza kuandikisha watu wenye Ulemavu elfu 13 Wasiio Ona elfu2200 Wenye Ulemavu wa mikono elfu 4 na Ulemavu mwingine wakiwemo wenye hualbino Watu wenye Uziwi . Pia Time imetoa vibari Kwa Asasi za watu wenye Ulemavu ili watu wenye Ulemavu wapewe elimu ya kupiga Kura,yameandaliwa Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya wenye Ulemavu wa Kutokiona Ona waweze kupiga Kura Kwa Uraisi 

Swala la Wakarmani wa lugha na Vifaa vya wenye Ulemavu wa Viungo vya Miguu vipo wakati wa kupiga Kura  tarehe 28 Mwezi 10 mwaka 2020  .Tume imetoa wito Kwa watu wenye Ulemavu kushiriki kusikiliza kampeni za Wagombea na kujitokeza Kwa wingi tarehe 28 Mwezi 10 .kupiga Kura kwaajili ya kumchagua Viongozi wanaowataka kwani Time imeweka mazingira rafiki Kwa wenye Ulemavu na makundi mengine


Habari picha na Victoria Stanslaus

Sunday 16 August 2020

MAKMU WA RAIS PONGEZA MIKAKATI MIZITO NA KABAMBE YA CRDB BANK

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema kitendo cha CRDB BANK kuanzisha CRDB  MARATHON kwa lengo la kukusanya fedha kwaajili ya kusaidia kwenye Ugonjwa  wa Ini,utunzaji wa mazingira jijini dsm Kwa kupanda miti Goba na kukabidhi milioni mia mbili kwenye Taasisi ya Jakaya  Kikwete ya Moyo ili fedha zikatumike kugharamia matibabu ya Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto Mia moja wa kitanzania ni Jambo jema .
 CRDB BANK Kwa kushirikiana na taasisi zingine  wameweza Kuondokana Uzuni Kwa Watoto na kurudisha Tabasam lililopotea Kwa kukosa fedha za Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto na kunusuru maisha Yao ambako wangekufa Kwa kukosa fedha za Upasuaji . Amewataka CRDB BANK waendelee na MARATHON hizi wasiishie hapa  ametoa wito Kwa taasisi zingine  kushirikiana na CRDB BANK katika kuokoa maisha ya Watoto  na wawaige CRDB  Kwa walivyofanya amesema haya kwenye CRDB  BANK MARATHON jijini Dsm 


Habari picha na Victoria Stanslaus

CRDB BANK YAMWAGA MAPESA LUKUKI

Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB BANK Abdulmajid Nsekela akiambatana na viongozi wenzake  akikabidhi Hundi ya Shiringi milioni Mia mbili fedha ya kitanzania kwaajili kwenda kugharamia  Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto 100  wa kitanzania kwenye taasisi ya Jakaya Kikwete  kama inavyoonekana pichani  .Mheshimiwa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Hundi hii 
 .uku nae  Mkurugenzi  Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete prof Janabi akiwa amevalia koti   lake jeupe  akishuudia makanisani ya Hundi hii baada ya kumarizika Kwa CRDB BANK MARATHON jijini Dsm 


Habari picha na Victoria Stanslaus

KAMPUNI YA ASASI USO KWA USO NA CRDB BANK

 Mwakirishi wa Kampuni ya Maziwa ya ASASI Sulemani amesema kitendo cha CRDB BANk kuanzisha CRDB MARATHON ni Jambo la kuungwa mkono na kuingwa na taasisi zingine . Kwani mazoezi yanasaidia kuimarisha  Afya za watu na kufanya watu kuondokana na Magonjwa mbalimbali .Pia CRDB MARATHON imewezesha kupatikana Kwa fedha Milioni Mia mbili 200 .000,000kwaajili ya Kugharamia matibabu ya Moyo Kwa Watoto Mia 100 amesema haya kwenye CRDB BANK MARATHON ambazo zimefanyika jijini Dsm 

Habari picha na Victoria Stanslaus


 

KAMPUNI YA COCACOLA YATOA YA MOYONI KWA CRDB BANK

Meneja wa Matamasha wa Kampuni ya Vinywji vya COCACOLA Mwakabungu  Edwadi ameutaka uongozi wa CRDB BANK waendelee  kusaidia Makundi  Maalim asa yenye Uhitaji kama walivyotoa fedha kiasi cha milioni mia mbili 200 000 000 .kwaajili ya Upasuaji wa Moyo Kwa Watoto Mia moja 100 kwenye taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete  Jijini Dsm amesema haya kwenye CRDB MARATHON

Habari picha na Victoria Stanslaus

KAMPUNI YA BIMA YAAIDI MAZITO KWA CRDB BANK

Meneja wa Ukuzaji Biashara na Masoko Chares Nyori ameapongeza Uongozi wa CRDB BANK kwa kunusuru vifo vya Watoto 100 ambavyo  vingetokana na matatizo ya Moyo. Kwa kuanzisha  CRDB BANK MARATHON ambako milioni Mia mbili 200  ,000 ,000 .zimepatikana kwaajili ya kufanya Upasuaji  wa Moyo Kwa Watoto Mia moja 100 kwenye taasisi ya Moyo ya JakayaKikwete huku akiaidi Kampuni Yao ya Bima SANLAM kushirikiana na CRDB BANK amewataka watanzania kutumia Bima zao kwani no Bora na gharama nafuu Mfano Bima za Afya na  za Mali amesema haya jijini Dsm kwenye CRDB BANK MARATHON jijini Dsm 

Habari picha na  Victoria Stanslaus
 

VIONGOZI WA DINI WAGUSWA NA UTENDAJI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa Amani na Shee Mkuu wa Dsm All Hadi Musa Salim amesema kwaniaba ya viongozi wa Dini mbalimbali wanaupongeza uongozi wa Tume ya Uchaguzi nchini Tanzania Kwa kuwaahidi kuwa Uchaguzi utakuwa wa  Uhuru  na Haki  .na swala la kutoa elimu Kwa mpiga Kura  kwani wametekeleza kufungua cha 8 pia kutoa Bihari Kwa Asasi za kiraia kwaajili ya mafunzo ya Ipigaji Kura  Uku wakiishukuru serikali Kwa kutengeneza bilioni 331 tena fedha za Ndani si za Waisani 


Habari picha na Ally Thabiti


TUME YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VIONGOZI WA DINI

 Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania amewataka viongozi wa Dini tofauti kufanya maombi ili Uchaguzi uwe na Amani na Huturivu .pia amewaaidi Kutokiona kutumika na viongozi wa Vyama vya Siasa ,wasikubali kutumika kuwa wapiga Debe wa Wagombea na misikitini na makanisani wanasiasa wasiluusiwe kufanya Kampeni .Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi . Haji mstaafu Semisteus Kaijage amewatoa ofu viongozi wa Dini vifaa vya kupitia Kura na Mawakala na utoaji fomu Kwa ngazi Urais,Ubunge na Udiwani Unaendelea vizuri amesema haya jijini Dsm alipoludia na viongozi wa Dini 


Habari picha na Ally Thabiti

Friday 14 August 2020

TCRA YAVISHUSHIA RUNGU ZITO VYOMBO VYOMBO VYA HABARI

Joseph Mapunda Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui TCRA amesema waevionya na kuvipa hadhabu vyombo tisa 9 vya habari Kwa kukiuka kanuni za Maudhui ya Mtandaoni ya Kielekroniki na Posta CG A FM,Kiss FM Abood FM watatoa milioni tano 5,000,000.00, Triple A FM watatoa milioni tano,Wasafi Media Online TVwatatoa mimioni tano kwa kuwapigia kampeni wagombea wa Ubunge na Udiwani Viti Maalum .huku Clouds FM kipindi chao cha Jahazi kikifungiwa nao Carry Mastery Media Ltd wakitozwa milioni tano Kwa kuamasisha mapenzi ya jinsi moja .Joseph Mapunda  ametoa wito Kwa vyombo vya habari nchini Tanzania kupitia Upya Mikataba Yao ya Ushirikiano na vyombo vya nje Lengo watendaji na Kanuni mpya za TCRA ili wasipate hadhabu za mara Kwa mara au kufutiwa Reseni zao 

Habari picha na Victoria Stanslaus

 

Thursday 13 August 2020

MGOMBEA MWENZA ATOA NENO


Mgombea Mwenza amewashukuru wanachama mno kwakuja kumlaki kama anavyoonekana pichani  

Habari picha na  na Victoria Stanslaus
 

CUF YATIA FOLA

Wana CUF wakimpokea Kwa shangwe prof Lipumba alipo wasili kutoka Dodoma  kwaajili  ya kuchukuwa  fomu ya kugombea Urais  Kwa tiketi ya Chama cha  CUF


Habari na Victoria Stanslaus
 

ILALA YAFUNGUA MILANGO KWA VIJANA

Afsa wa Vijana wa  Wilaya ya Ilala amewataka vijana na watoto wafike Kwa watendaji wa KATA na wilaya na wenyeviti wa serikali za mitaa ili wapate furusa mbalimbali na kujikwamuwa kiuchumi amesema wanatembelea makundi ya vijana na watoto waishio kwenye mazingira magumu ya mtaani  Kwa kuwapa mafunzo ya taalumabalimbali .amelipongeza shirika la BABA WATOTO kwajitiada na juhudi wanazozitoa ya Kwa kuwakwamuwa vijana na watoto waishio kwenye mazingira magumu amesema haya siku ya vijana Duniani ambako uadhimishwa tarehe12 Mwezi 8 Kila mwaka 


Habari picha na Victoria Stanslaus
 

Wednesday 12 August 2020

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AVIONYA VYAMA VISIVYOJIELEWA

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Nyaoza amevitaka  vyama vya siasa kuiga uongozi wa NCCR Mageuzi 

Habari picha na  Victoria Stanslaus
 

NCCR YAFUNGUA MILANGO KWA UPINZANI

Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Jemsi Mbatia amesema wapo  tayari kushirikiana na Chama chochote na kuungana nao 

Habari picha na Victoria Stanslaus
 

AMINI AJA KIVINGINE

Msanii wa Kizazi  Kipya Amini ameaema atakuja na Nyimbo nyingi karibu uku akimpongeza Rich Mavoko Kwa Uzinduzi wa MINITAPE 


Habari picha na Victoria Stanslaus
 

BABA ASKOFU KUTOKA MOROGORO AWAFUNDA WANA SIASA

Baba Askofu kutoka Morogoro amewa Wagombea nchini Tanzania watumie  Lugha za kistaarabu wakati wa Kampeni na watunze na kulinda Amani iliyopo amesema haya kwenye Ofisi za Baraza la Maaskofu nchini Tanzania 

Habari picha na Victoria Stanslaus