Masozi Nyerenda ni Mratibu wa Mfuko wa Kuendeleza Jamii na Meneja was Miradi ya Elimu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania .ameitaka Jamii kulinda,kusimamia na kutunza Rasilimali za Elimu mfano majengo,vifaa vya kufundishia na vitu vinginevyo kwani Mamlaka inatoa Fedha nyingi katika ujenzi na kununua vitu . pia
Ameitaka Jamii kuweza kutoa michango mbalimbali ya kifedha na Mali kwenye Mamlaka ya Elimu Tanzania kwani Mamlaka hii imeundwa kwa Sheria ya Bunge mamba 8 ya mwaka 2001 ambako imepewa Mamlaka ya kusimamia Mfuko wa Elimu Tanzania na mwaka 2017 wizara ya Elimu ilitoa Mamlaka ya kuendeleza mfuko waUjuzi . Na watu wenye ulemavu wamewezeshwa kujengewa mabweni,madarasa na vifaa vya kujifundishia . amesema haya kwenye maonyesho ya 15 ya Vyuo vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment