Tuesday, 1 September 2020

MZUMBE UNIVERSITY YAJA NA MIPANGO MIZITO

 

Chuo kikuu cha mzumbe kinapenda kuwakaribisha wanafunzi wote walio hitimu kidato cha sita na wenye sifa waweze kujiunga na chuo hicho kwani kina ubora wa hali ya juu sana kuweza kuwafikisha katika malengo yao.

Akiyasema hayo mmoja wa viongozi wa chuo hicho madam Rose amesema chuo cha mzumbe kina sifa zote na ubora wa hali ya juu sana wa kutoa maarifa kwa wanafunzi wake 

Habari picha na Ally thabiti

No comments:

Post a Comment