Chuo Kikuu cha ushirika moshi kinawaalika vijana wote wenye sifa waweze kujiunga na chuo hicho kwani kinazo sifa zote za kuweza kuwaandaa vijana ili kuweza kujikwamua kiuchumi. Akiongea na mwandishi wa habari Dr Faustine Panga katika banda lao amesema kua,, wanampango mkakati mkubwa sana wa kusaidia taifa kupitia vijana ambao watakwenda kujiunga na chuo hicho. Dr Faustine Panga amesema kwamba wanaofisi kwenyemikoa 13 Tanga, Mtwara Tabora ,Ruvuma na mikoa mingineyo Tanzania bara pia wanatoa mafunzo kwa njia ya Masafa
Habari picha na ally thabiti
No comments:
Post a Comment