Saturday, 5 September 2020

CHUO KIKUU CHA ZANZIBAR CHABAINISHA MAFANIKIO RUKUKI

Sultan Said Omar Assistant Lecturer&ICE Coordinator,ZANZIBAR University amesema mafanikio waliopata ni kutoa wafanyakazi wengi serikalini,wamefanya tafiti zinazo tatua changamoto wa wananchi ,kuwatengeneza  wanafunzi kujiajili nasasa wameongeza proglam za kozi kutoka 3 mpaka 15 ivyo amewataka watu kujiunga na Chuo chao kwaajili ya kupata elimu bora na yenye tija .Lengo lao kwenye maonyesho haya wawasajili wanafunzi 200 wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa .pia chuo hiki kinatoa Ushauri ametoa wito kwa watu kuweza kukitumia chuo hiki ili waweze kujiajili na kuajiliwa amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yalioandaliwa na TCU viwanja vya mmnazi mmoja jijini dsm 

Habari picha na Victoria Stanslaus

 

No comments:

Post a Comment