Afsa Habari Msaidizi Hamadi Hasani amewataka Watu kujiunga na chuo Kikuu cha ki Islam Morogoro kwaajili ya kupata Elimu Bora na yenye Tija Chuo hiki kinazingatia maswala ya Mahadili. pia chuo iki kinaunga mkono juhudi za rais Magufuli katika kufika Tanzania ya viwanda kwa kuandaa wataalam wenye uwezo wa kufanya kazi katika nyanja mbalimbali mfano sheria na katika maswala ya habari ambako chuo kikuu cha ki Islam kimetenga millioni 90 fedha za kununua vifaa vyakisasa vya kufundishia wana habari pia amewatoa ofu watu kuwa chuo hiki kinachukuwa wa Islam na wasiowaina sifa zote na uwezo wa kuwaandaa wanafunzi kuwa wabunifu na kuweza kusaidia taifa lao katika kuinua uchumi wa yetu
Wakiyasema hayo katika banda lao lililopo mnazi mmoja jijini dar es salaam wanawakaribisha wanafunzi hata wenye matatizo kama ulemavu kwani chuo kina mazingira mazuri ya watu wenye ulemavu pia
Habari picha na Ally thabiti
No comments:
Post a Comment