Saturday, 5 September 2020

GLOBAL EDUCATION LINK LTD YAWATOA MCHECHETO WATANZANIA

Rejina Rema amewataka watu kuweza kutumia Global Education Link Ltd ili waweze kuwapeleka watoto wao kwenda kusoma kwenye Vyuo mbalimbali vya nchi tofauti mfano India ,China na nchi zingine .pia amewatoa hofu kwani gharama zao ni nafuu ,ulinzi na usalama wa wanafunzi wakienda kusoma nje ya nchi ni mzni mzuri, mkubwa na wauhakika  na wanafunzi wanaofisi pelekwa na Global Education Link Ltd wanaludi Tanzania wakimaliza Masoko Yao na wanapata fursa mbalimbali za ajila na ifikapo tarehe 19 mwezi wa 9 mwaka2020 Global Education Link Ltd watakuwa na maafari viwanja vya mlimani city jijini dsm kwa wanafunzi wote walihitimu Masoko nje ya nchi
ametoa wito makundi mbalimbali mfano watu wenye ulemavu kukitumia Global Education Link Ltd kwaajili ya kupata elimu nje ya nchi kwani Wana uzoefu mkubwa   
  Amesema haya kwenye maonyesho ya 15 yavyuo vikuu yalioandaliwa na TCU viwanja vya mnazi mmoja jijini dsm

Habari picha na Victoria Stanslaus



No comments:

Post a Comment