Friday 31 January 2020

CLOUDS MEDIA YAJA KIVINGINE MIAKA 21

Mkuu wa  maudhui wa Clouds Sebastiani Maganga amesema wameamuwa kuja na uongozi mkakati Lengo nikuwafungulia watu dunia na watu waweze kupata fulsa ya kujikwamuwa kiuchumi Kila mwaka kunakuwepo na changamoto na kunakuwepo na taratibu zake ivyo kunaitajika kuwepo na nyenzo,watu,mkakati inayoweza kutoa majibu ya maswali ya watu wanayojiuliza ivyo Sebastiani Maganga amewataka watu watumie kipindi cha asubuhi kwenye Clouds TV (Clouds three six ) nawatumia pratfrom kwaajili ya kujifunza pia amesema Clouds inawafungulia watu dunia Kwa kuongoza soko la maudhui ya taarifa na buruduni na Kwa sababu hii watu wa Kada mbalimbali watatimiza malengo yao kupitia Clouds Media amesema Aya jijini dar es salaam kwenye hotel ya Serena

Habari picha na Ally Thabiti

Wednesday 29 January 2020

MCHUNGAJI WA TAIFA ATEMA CHECHE SAKATA LA MEA

Mchunaji wa Taifa Mashimo amesema madiwani na namea wa jiji la dear es salaam wahache kumfanyia fitna na figisu figisu Mea wa jiji la dear es salaam pia amempongeza mea Isaya Mwita kwakupeleka sadaka Kwa nabii Benders you akiwataka watanzania pamoja na viongozi kutoa fedha kwaajili ya kongamano la kuiombea amani nchi ya Tanzania uku akimuomba mkuu WA mkoa wa dar es salaam Paulo Makonda Ampe nafasi ya kuonana nae

Habari picha na Ally Thabiti

CHADEMA YAFICHUA MCHEZO MCHAFU WA CCM

Kiongozi wa kanda ya Pwani wa CHADEMA  amesema mbinu za Chama cha CCM za kumuondoa mea WA jiji la dear es salaam Isaya Mwita nikutaka kukomba pesa za jiji la dear es salaam

Habari picha na Ally Thabiti

Tuesday 28 January 2020

MAAFSA HABARI WA SERIKALI WACHIMBWA MKWARA

Mwenyekiti wa Chama cha  maafsa habari serikalini (TAJIKO) Pasko Shelutete amewataka maafsa habari serikalini waache urasimu pindi wanahabari wanapoitaji taarifa za wizara au taasisi za serikali Pia amewataka watoe ushirikiano wa kutosha Kwa wanahabari amesema haya wakati akiongea na Wana habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari maelezo jijini Far es salaam wakati akizungumzia mkutano wao wa15utakaofanyika jijini Mbeya tarehe9 Hadi tarehe13 mwezi wa pili2020 Lengo kutathmini kazi za maafsa habari wa serikalini

Habari picha na Ally Thabiti

DIWANI WA CHAMANZI ATANGAZA VITA

Diwani mh Karata amewataka wapinzani kuacha kumbeza rais Magufuli kwani amefanya mambo mazuri na makubwa ikiwemo ujenzi wa shule za  msingi na sekondari ndani ya kata ya Chamanzi na Tanzania Kwa ujumla .ujenzi wa kituo cha polisi , mahabara ya magonjwa,na uzio wa Zahanati na katatuwa matatizo ya maji ndani ya kata ya Chamanzi

Ivyo diwani amewataka wapinzani kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2020 kutoweka nafasi ya udiwani,ubunge na urais wagombea kwani Irani ya CCM imetekelezwa Kwa vitendo Tanzania mzima diwani wa kata ya Chamanzi amewataka tarula kujenga barabara ya rami ndani ya kata ya Chamanzi

Habari picha na Ally Thabiti



MENEJA MASOKO AMPA TANO DIWANI WA CHAMANZI

Ramadhani Muhamedi Meneja masoko wa wilaya ya Temeke amempongeza diwani wa kata ya Chamanzi mh Karata  Kwa kupigania  kuanzishwa Kwa soko la Mbande magengeni pia amempongeza Kwa kuweke umeme, stendi na kufika daladala ndani ya soko

Meneja masoko amewatoa ofu wanachamanzi kuwa changamoto za vyoo, biashara ya jumla,asilimia10 na ujenzi wa  barabara manspaa ya Temeke itatatuwa ametoa wito Kwa wanachamanzi waache kufanya biashara barabarani

Habari picha na Ally Thabiti