Diwani mh Karata amewataka wapinzani kuacha kumbeza rais Magufuli kwani amefanya mambo mazuri na makubwa ikiwemo ujenzi wa shule za msingi na sekondari ndani ya kata ya Chamanzi na Tanzania Kwa ujumla .ujenzi wa kituo cha polisi , mahabara ya magonjwa,na uzio wa Zahanati na katatuwa matatizo ya maji ndani ya kata ya Chamanzi
Ivyo diwani amewataka wapinzani kwenye uchaguzi wa mwaka huu 2020 kutoweka nafasi ya udiwani,ubunge na urais wagombea kwani Irani ya CCM imetekelezwa Kwa vitendo Tanzania mzima diwani wa kata ya Chamanzi amewataka tarula kujenga barabara ya rami ndani ya kata ya Chamanzi
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment