Thursday 22 December 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kufunga geti li maji yaweze kujaa katika Bwawa la Mwalimu Nyerere hii leo Desemba 22, 2022.

Tanzania tunaweza kujifanyia mambo makubwa wenyewe: Rais Samia

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unatoa taswira kuwa Watanzania wanaweza kujitengenezea mambo makubwa wao wenyewe bila kupata msaada kutoka sehemu nyingine.

Rais Samia ameyasema hayo hii leo Desemba 22, 2022 mara baada ya kushuhudia tukio la ujazaji maji katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na kuongeza kuwa licha ya uwepo wa changamoto kadhaa lakini hii leo nchi inaingia katika historia ambayo ilitarajiwa na kusubiriwa kwa muda mrefu.

Habari picha na Ally Thabit

WAZIRI WA NISHATI ATOA NENO KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA


Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa ni mchango mkubwa katika kufanikisha mradi wa ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), kutokana na kujipanga na kuulinda tangu awali hadi kukamilika kwake.

Makamba ameyasema hayo hii leo Desemba 22, 2022 wakati akiongea katika tukio la ujazaji maji Bwawa la Mwalimu Nyerere ambao utashuhudiwa na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa, Vyama, Serikali na Wananchi, huku ukitarajiwa kusaidia uchumi wa nchi.

Habari picha na Ally Thabith

WAZIRI WA NISHATI AWEKA HISTORIA

 Amesema haya tarehe 19/12/2022

Waziri wa nishati January makamba nilipo muhoji tarehe 19/12/2022 alisema ifikapo tarehe 22.12.2022 Tanzania itaweka historia kwa kuweza kujaza maji kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere hatimaye historia hiyo imeandikwa rasmi.

habari kamili na Ally Thabith

LATRA YAJADILI BEI YA TRENI YA UMEME

 





Habari picha na Ally Thabith

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA TANAPA

 


Waziri mkuu Kassim Majiliwa Kassim ameitaka Tanapa kutangaza mafanikio wanayoyapata.

habari kamili na Ally Thabith

Sunday 11 December 2022

LHRC YATANGAZA VITA DHIDI YA UKAILI WA KIJINSIA

 Mkurugenzi mkuu mtendanji wa LHRC ANNA ENGA amesema wataendelea kufanya kazi za kupinga na kukemea maswala ya ukatili wa kijinsia kwa makundi yote

Habari kamili na Ally Thabit

FCC YALINDA UBORA WA BIDHAA

William Erio Mkurugenzi mkuu mtendaji ya tume ya ushindani ya biashara Tanzania (FCC) amesema, lengo la FCC ni kuwaonganisha wafanya biashara wakubwa, wadogo na wakati ili waweze kupata ujuzi wa kiteknolojia na kuwaunganisha na kituo cha uwekezaji pamoja na wapate mitaji ya kutosha.

William Erio amewataka wafanya biashara wa Tanzania watengeneze bidhaa zenye unbora ili waweze kuuza ndani ya nchi na nje ya nchi pia amesema wanawafikia watu wenye ulemavu kwakuwapa elimu ya utengenezaji bidhaa zenye ubora katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania huku wakitumia wataalam wa lugha za alama kwenye mikutano yao na makongamano yao yanapokuwa wakitoa elimu kwa watu wenye uziwi. FCC mikakati yao nikutokomeza bidhaa bandia nasasa wana ofisi jijini mwanza ambako inahudumia mikoa ya kanda ya ziwa pia wamefungua ofisi Jijini Arusha na wako mbioni kufungua ofisi maeneo mengineyo.

Mkurugenzi mkuu mtendaji wa FCC William Erio ametoa wito kwa jamii waitumie FCC

Amesema haya kwenye maonyesho ya saba ya bidhaa za ndani zinazotengenezwa na viwanda vya Tanzania Jijini Dar es Salaam nae kwa upande wake mfanya biashara Amiri Hamza ameipongeza FCC kwa kudhibiti bidhaa bandia hivyo ametoa lai kwa FCC waendelee na kazi yao nzuri.

Habari picha na Ally Thabiti




Monday 5 December 2022

JOTI AIMPONGEZA BODI YA FILAMU

 Msanii wa kuigiza Joti ameipongeza bodi ya filamu kuja na tuzo kwani itasaidia wasanii kufanya kazi kwa bidii.

habari picha na Ally Thabit


DR HUSSEIN WA AGAKANI AJA NA MRADI KABAMBE

Dkt. Hussein amesema kuja na mradi wa kutoa huduma ya kwanza pindi maafa yanapotokea

Habari kamili na Ally Thabit

WAZIRI WA BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA ZANZIBAR AIPONGEZA TURN TRADE

 Omary Saidi Shabani Waziri wa biashara na maendeleo ya viwanda zanzibar ameipongeza TURN TRADE kwa kuwatafutia masoko wa wafanyabishara na wajasiliamali amewataka watanzania kutengeneza bidhaa zenye ubora kwaajili yakuuza kwenye bara la afrika ambapo jumla watu wapo bilioni 1.2 na waraji kwa afika ni 5.1% na ajira laki tatu kwani ifikapo mwaka 2025 sekta ya viwanda inatarajia kuchangia pato la Taifa 18% ambapo kwasasa inachangia asilimia 8% nae kwa upande wake makamo mwenyekiti wa bwe3edi ya TURN TRADE    ISSA SALUM SEIF amesema mpaka sasa wametoa mafunzo na elimu kwa wajasiliamali na biashara nae kwa upande wake mkurugenzi wa Turn Trade Latifa Mohamed amesema maonyesho haya ya saba ya bidhaa ya viwanda vya Tanzania vinawashiriki 502 ambao watapata fursa mbalimbali za kimasoko na kubadilishana ujuzi na technolojia huku akimpongeza dokta Rais Samia Suluhu Hassan kwakuwatafutia masoko wafanyabiashara wa kitanzania nae kaimu katibu mkuu wa viwanda biashara na uwekezaji Ally Kugugu amewataka wafanya biashara kufanya kwa vitendo mafunzo na elimu wanayopewa na TURN TRADE nae mwakilishi wa wafanyabiashara AMIRI HAMZA amemshukuru Dr. Samia Suluh Hassan wa kazi na jitihada wanazozifanya kwa wafanyabiashara kwani ametatua kero na changamoto nyingi.

Habari na AllyThabit

TGNP YAJA NA TATHIMINI YA UONGOZI KWA WANAWAKE

 





Friday 25 November 2022

Kwa mara ya kwanza madaktari wazawa wafanya upasuaji wa kubadilisha sehemu ya mshipa mkubwa wa damu (Aorta)

 24/11/2022 Madaktari wazawa mabingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete kwa mara ya kwanza wamefanya upasuaji wa kubadilisha sehemu ya mshipa mkubwa wa damu (Aorta) ambao unatoka kwenye moyo mpaka sehemu inayotoa matawi ya mishipa inayopeleka damu kwenye kichwa na ubongo (ascending aorta and arch).

Upasuaji huo unaojulikana kwa jina la kitaalamu la Bental Procedure and hemi-arch aortic repair ulichukua masaa kumi kukamilika kutokana na mshipa wa mgonjwa kutanuka ukihusisha na mshipa unaopeleka damu kwenye kichwa na ubongo.

Mbali na kuusimamisha moyo kutokana na upasuaji huo kuhusisha sehemu ya Aorta inayotoa mishipa ya damu kupeleka kwenye ubongo ilibidi wataalam hao kusimamisha msukumo wote wa damu kwenda kwenye ubongo na mwili mzima kwa muda wa dakika 45 ( Deep hypothermia and circulatory arrest).

Akizungumzia kuhusu upasuaji huo Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu wa JKCI Evarist Nyawawa alisema baada ya kumfanyia vipimo mgonjwa huyo waligundua kuwa valvu inayopitisha damu kutoka kwenye moyo kwenda kwenye mshipa mkubwa na kusambaza damu mwilini (Aortic Valve) ulikuwa unavujisha damu.

Dkt. Nyawawa alisema wataalam walishauri mgonjwa huyo afanyiwe kipimo cha CT Scan ili kuchunguza mshipa wa aorta kwa kutumia kipimo kinachoitwa  CT Angiograph na kuthibitisha kuwa mshipa mkubwa wa damu ulikuwa umetanuka kwa kiwango kikubwa kutoka kwenye valvu kwenda mpaka kwenye ascending aorta na sehemu ya arch of aorta.

“Tulipokea mgonjwa ambaye alikuwa na tatizo la kuumwa kifua na kubanwa kifua huku akijisikia mwili kuchoka sana hivyo kumfanyia kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (ECHO Cardiograph) na kugundua kuwa valvu inayopitisha damu kutoka kwenye moyo kwenda kwenye mshipa mkubwa na kusambaza damu mwili mzima (Aortic Valve) ulikuWa unavujisha damu,” alisema Dkt. Nyawawa.

Dkt.Nyawawa alisema kwa kawaida mgonjwa akiwa na mshipa uliotanuka hadi kwenye arch of aorta upasuaji wake unakuwa mgumu na wa hatari kwa sababu mbali na kuusimamisha moyo unahitaji vilevile wakati wa upasuaji usimamishe msukumo wote wa damu kwenda kwenye ubongo na mwili mzima.

 “Tumefanikiwa kupandikiza mshipa bandia sehemu ambayo mshipa wake ulikuwa umetanuka na kubadilisha valvu lakini pia tulitoa ile mishipa midogo midogo ya moyo (Coronary) ambayo inapeleka damu kwenye misuli ya moyo na baadaye kuipandiza tena kwenye ule mshipa bandia,” alisema Dkt. Nyawawa.

Dkt. Nyawawa alisema baada ya upasuaji mgonjwa amepona na ataweza kufanya kazi zake zote bila ya kupata dalili alizokuwa nazo hapo awali za kuchoka, maumivu ya kifua na kushindwa kupumua.

“Wagonjwa wanaopata dalili za kuchoka, pumzi kukata na kifua kubana wanapaswa kupumzika kwanza na kufika hospitali kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi ili waweze kupatiwa matibabu mapema kwani ni hatari mshipa wa damu mkubwa ukitanuka na kupasuka husababisha mgonjwa kupoteza maisha yake,”.

“Kuna sababu nyingi zinazosababisha mshipa mkubwa wa damu kutanuka na kupasuka lakini sababu kubwa huwa ni shinikizo la damu kwani wagonjwa wengi tuliowaona wamepata tatizo hili kutokana na kuwa na shinikizo la damu,”alisema Dkt. Nyawawa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Upasuaji wa JKCI Dkt. Angela Muhozya alisema JKCI kwa kutumia madaktari wazawa imefanikiwa kufanya upasuaji huo mkubwa kwa wagonjwa wawili ndani ya wiki moja mafanikio makubwa ambapo tofauti yao mgonjwa mmoja mshipa wake ulikuwa umetanuka sana hadi sehemu ambapo kuna mishipa midogo inayopeleka damu kwenye ubongo.

Dkt. Anjela alisema upasuaji huo unatakiwa kufanyika kwa uangalifu mkubwa kwasababu mishipa midogo ya damu isipopandikizwa vizuri mgonjwa anaweza kupata matatizo kwenye ubongo, sehemu zote za kichwa pamoja na mishipa ya damu.

“Mgonjwa mwingine tuliyemfanyia upasuaji wa aina hii  alikuwa na umri wa miaka 35 ambaye mshipa wake mkubwa wa moyo ulikuwa umetanuka sana na kuchanika kwa ndani hivyo kutengeneza njia mbili kubwa ambazo zimekuwa zikipitisha damu na kuathiri mishipa ya kupeleka damu katika kichwa na ubongo,” alisema Dkt. Angela.

Dkt. Anjela ambaye pia ni daktari bingwa wa usingizi na wagonjwa mahututi alitoa wito kwa wagonjwa wanaopata maumivu ya ghafla ya kifua au kupoteza fahamu waende hospitali haraka kwa ajili ya kufanyiwa vipimo zaidi pamoja na kupata matibabu.

Naye mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji huo Mohamed Dinya alisema amefarijika kuona wataalam wa JKCI wana utaalam mkubwa kwani hakutegemea kama angefanyiwa upasuaji huo kutokana na hali yake ilivyokuwa hivyo kuwafanya wataalam wageni waliofika katika Taasisi hiyo kuhairisha upasuaji zaidi ya mara mbili.

“Hivi karibuni kulikuwa na wataalam wa afya kutoka nchi tofauti na hapa ambao walinifanyia uchunguzi na kuondoka bila ya kunifanyia upasuaji kutokana na upasuaji wangu kuwa mgumu na wa hatari lakini madaktari hawa wa JKCI hawakukata tamaa wakasema watanifanyia upasuaji na leo kama unavyoniona naendelea vizuri,”.

“Madaktari wa hapa ni wazuri sana, watanzania wenzangu msiogope kupatiwa matibabu hapa na kukimbilia nje ya nchi kwani labda leo ningeenda nje ya nchi nisingefanyiwa upasuaji kutokana na tatizo langu kuwa kubwa na wataalam kuogopa kunifanyia upasuaji huo,” alisema Dinya.

Habari kamili na Ally Thabit



NICOL YAWAFUTIA WATU KUWEKEZA


Mkurugenzi mkuu wa NICOL Erasto amewataka watu kutumia taasisi yao kwenye uwekezaji kwani watapata manufaa makubwa pia hisa zinapatikana kwa wingi.

Habari kamili na Ally Thaibit

NMB YAPATA TUZO ZA KIBABE


Mkurugenzi wa NMB Bank Lucy Zaipuna amesema wanashukuru kupata tuzo za Bank Bora hivyo wataendelea kutoa huduma bora kwa wananchi.

Habari kamili na Ally Thabit

MKURUGENZI WA TAFIRO AMESEMA WANAFANYA UTAFITI WENYE TIJA

 Mkurugenzi mkuu wa shirika la utafiti wa misitu nchini Tanzania amesema utafiti unaofanywa unasaidia kwa kiasi kikubwa katika kuzibiti upotevu na uaribifu wa misitu nchini Tanzania.

Habari na Ally Thabit

NAIBU WAZIRI WA MARIASILI NA UTALII HAJA NA MIKAKATI YAKUDHIBITI UARIBIFU WA UOTO WA ASILI

 Marry Masanja naibu waziri wa Mariasili na utalii amesema wanasibitishwa na upotevu wa uoto wa asili kiasi cha milion 5.2 hivyo wakuja na mpango mkakati kwaajili ya kuzuia na kurejesha uoto wa asili kwa kutoa elimu kwa jamii namna ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya Nchi.

habari Picha na Ally Thabit

KAMISHNA WAKALA WA MISITU AELEZA NAMNA WANAVYO WAFIKIA WATU WENYE ULEMAVU

 Kamishina wa Wakala wa misitu Nchini Tanzania TFS amesema wanaendesha miradi kwenye mkoa wa Kagera, njombe na Iringa ambako watu wenye ulemavu wanajishughulisha na shughuli mbalimbali ikiwemo ufugaji nyuki. Kamishna amesema TFS inawashirikisha watu wenye ulemavu kwa kiasi kikubwa.

habari na Ally Thabit

MRATIBU WA MRADI WA MAISHA BORA ATOA NENO

 Mratibu Agness Sameja amewataka wazazi na walezi nchini Tanzania kutowafungia ndani watoto wenye ulemavu pia ametoa wito kwa watoto wenye ulemavu waliopo mashuleni kusoma kwa bidii na watoe taarifa pindi wanapotendewa vitendo vya ukatili wa kijinsia. Amesema haya wakati wa kukabidhi pea 30 za uniform kwa wanafunzi wasio ona shule ya msingi Toangoma kupitia mradi wa Maisha Bora chini ya kanisa la FCPT.


Habari picha na Ally Thabit

MCHUNGAJI WA FCPT AHAIDI MAZITO

 Mchungaji wa kanisa la FCPT lililopo Toangoma Henry Katamba amesema mradi wao wa maisha bora ambao unatekelezwa kwenye mikoa saba Tanzania utaendelea kutoa huduma kwa watu wenye ulemavu amesema haya wakati wa kukabidhi Pair 30 za uniform kwa wanafunzi wasioona shule ya msingi Toangoma Dar es  Salaam.



Habari Picha na Ally Thabit

WIZARA YA MARIASILI NA UTALII WAJA KUZIBITI WA UOTO WA ASILI




 




Habari picha na Ally Thabith

Monday 21 November 2022

MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA KIGAMBONI AMPONGEZA SAMIA

 SIKU NJEMA YAHAYA SHABANI mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni amesema rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa kwenye nchi ya Tanzania pia ameweza kufungua miradi mikubwa wilaya ya kigamboni nakutoa fedha nyingi katika wilaya hii.


habari kamili 

Ally Thabith

AZAM TV YAFUNGUA DUKA JIPYA KARIAKOO


 

HABARI PICHA NA ALLY THABITH

Sunday 20 November 2022

MBUNGE WA SEGEREA KUIBUWA VIPAJI

 Mbunge Bona wa jimbo la segerea ameamua kuja na michuano wa mpira wa miguu ambako tarehe 03 December uzinduzi unafanyika jumla ya timu 64 zitashirki ambako mshindi wa kwanza atapata shilingi milioni tano. mshindi wa pili milioni tatu amesema lengo hili la michuano hii nikuibua na kukuza vipaji vya vijana ili waweze kuajiliwa huku akijipanga kuanzisha michuano ya watu wenye ulemavu.

Habari na Ally Thabith

WAZIRI NAPE AIPONGEZA TBC

NAPE MOSES NAUYE waziri wa habari technologia na habari amelipongeza shirika la habari nchini Tanzania TBC kwa kupata haki za kuonesha michuano ya kombe la dunia inayofanyika nchini Qatar nae kwa upande wake msemaje mkuu wa serikali Gereson Msigwa amevitaka vyombo vya habari nchini Tanzania kutoa habari zenye uweredi kama TBC ambako ameahidi kutoa ushirikiano kwenye kuonesha na kutangaza michuano ya Kombe la michuano nchini Qatari uku mwenyekiti wa bodi ya TBC anaitwa STEVEN KAGAIGAI amewataka watu kujitokeza kwa wingi kutangaza nakuonyesha bidhaa zao kupitia TBC pia Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr. Ayubu Ryoba amesema TBC itaonesha mechi 28 kwenye kombe la Dunia kwa lugha ya kiswahili na kwa muonekano wa HD na upande wa radio TBC itatangaza mechi 24.

Meneja masoko wa TBC ametoa wito kwa makampuni viwanda kuweza kutangaza na TBC kwenye kombe la dunia.

Habari 

Ally Thabith

Friday 18 November 2022

UTT AMIS YAFUNGUA MILANGO YA UWEKEZAJI


 

TAASISI YA HATUA GROUP YAJA KUWAKOMBOA MAMA WAJAWAZITO

Mkurugenzi Derick Mgaya wa taasisi ya hatua group imeamua kuja na program ya mazoezi kwa mama wajawazito, elimu ya lishe na maswala ya kisaikolojia lengo kunusuru na kuokoa vifo vya mama wajawazito wakati wa kujifungua na kabla ya kujifungua ambapo program hii itaanza mwezi wa pili 2023 uzinduzi umefanyika kwenye hospitali ya Mbagala Zakhiem. Nae kwa upande wake mkurugenzi wa vifaa vya kujifungulia wa mama wajawazito RENATUS ameunga mkoni juhudi na jitihada zilizofanywa na taasisi ya hatua group nae mwakirishi wa mkuu wa wilaya amesema ni vyema mama wajawazito kuunga mkono mradi huu kwani itawasaidia kwa kiasi kikubwa katika kuimalisha Afya zao na watoto waliopo tumboni.

Nae Dakatari wa ushauri wa program hii ndug. Michael amesema watahakikisha wanawafikia mama wote wajawazito.

Habari kamili

Ally Thabith

MAMLAKA YA ANGA YASIBITISHA UWANJA WA BUKOBA NI SALAMA

 Mkurugenzi Hamza Johar amesema uwanja wa Ndege wa Bukoba ni salama kwa ndege kutua na kupaa

Habari kamili 

Ally Thabiti

RAISI WA IST APANGA MIKAKATI MIZITO

 Bilauri Tryphon Pastory rais wa IST amemshukuru Raisi Samia Suluhu Hassan kwakuweza kuwaunga mkono masavea nchini Tanzania pia ameiomba serikali kuweza kufanya mabadiriko ya sheria sura namba 270 na Namba 324.

Hbari kamili na Ally Thabith

TANROAD YAJA KIVINGINE

 



UTT AMIS YATOA NENO

 




TAHLISO YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUTENGA FEDHA BODI YA MIKOPO



 




Friday 28 October 2022

HAWA NDIO AQRB


 

KWA VIFAA BORA VYA UMEME WAONE AFRICAB

 


KWA UJENZI WAONE



 

ELIMU BORA INAPATIKANA HAPA



 

HIZI NDIZO BIDHAA BORA


 

FUATILIA MAMBO HAYO

 



CHUO CHA TAIFA CHA UTALII CHAFUNGUA MILANGO

 



KATIBU WA CCM WILAYA YA TEMEKE AHAHIDI KUSIMAMIA ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI

 katibu kite wilaya ya temeke amesema ccm inaendelea kutekeleza kwa vitendo ilani ya ccm amewapa salamu wapinzani waendelee kuunga juhudi za Raisi Samia Suluhu Hassan.

Habari na Ally Thabith

DIWANI WA KATA YA TEMEKE AUNGA JUHUDI ZA RAIS SAMIA SULUHU HASSANI

Diwani wa kata ya Temeke Omary amesema yeye anatekeleza irani ya chama cha mapinduzi kwa vitendo ambapo wananchi wapatao 65 waliopitiwa na mradi wa mwendo kasi watalipwa pesa zao ujenzi wa miundombinu ya barabara unaendelea vizuri huku kwenye sector ya Afya wanaendelea kutatua vifo vya mama na watoto wachanga kwa vitendo pia amesema sasa wanajenga masoko ya kisasa maeneo ya vetenali na kuboresha masoko mengineyo diwani Omary wa kata ya Temeke amesema mradi wa ujenzi wa uwanjwa wa mwembe yanga unaofadhiliwa NORDIC kwa kupitia DMDP ambako kutakuwa na viwanja vya mpira wa miguu maeneo ya kupaki magari visimba kwaajili ya mama NTILIE sehemu ya kumpumzika pia maswala ya ndondi, ambako mradi huu ulianza tarehe 10/07/2022 na utamalizika mwezi kumi na moja.ambako umefika asilimia 85% na unathamani ya kiasi cha Tsh milioni 998, diwani wa kata ya Temeke amesema wanapambana na ukatili wa kijinsia ndani ya kata yake huku akimpongeza mkurugenzi wa manispaa ya Temeke Mkuu wa wilaya ya Temeke, Mtendaji kata wa kata yake na viongozi wote ndani ya kata ya Temeke bila kumsahau Aziza. Ametoa wito kwa watanzania na wasio watanzania waendelee kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kama Diwani wa Temeke Omary anavyofanya kwani amekuza elimu kwa ujenzi wa Madarasa.

Habari na Ally Tabith

MKUBWA FELA HAIPA HESHIMA TANZANIA KIMATAIFA

Meneja wa Wasanii Diwani wa Kilungule Mkubwa Fela amepata tuzo nchini zimbabwe yakukuza vipaji vya wasani ambako nchi takribani albaini zilikuwa zinawania tuzo hizo.

habari 
Ally Thabith

MWENYEKITI WA BODI YA UBUNIFU MAJENGO NA UKADILIAJI MAJENGO KUIPAISHA TANZANIA KWENYE MIUNDO MBINU

 Dr. Bulemila amesema wanajenga majengo yenye ubora na yanayo zingatia

habari 

Ally Thabith

WAZIRI WA MARIASILI YA UTALII AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

 Barozi Dr. Pindi Chana Waziri wa maliasili na utalii amesema sekta ya maliasili na utalii inachangia fedha za kigeni kwa asilimia ishirini na tanonaa ajira milioni moja na laki tano na inatoa mchango mkubwa kwenye pato la taifa hizi ni juhudi za raisi Samia Suluhu Hassan naye kaimu mkurugenzi wa chuo cha utalii amesema maono ya Samia Suluhu Hassani wanayafanyia kazi ndio maana wanamkutano wa kimataifa wa nchi nane.

Habari kamili

Ally Thabith