Mchungaji wa kanisa la FCPT lililopo Toangoma Henry Katamba amesema mradi wao wa maisha bora ambao unatekelezwa kwenye mikoa saba Tanzania utaendelea kutoa huduma kwa watu wenye ulemavu amesema haya wakati wa kukabidhi Pair 30 za uniform kwa wanafunzi wasioona shule ya msingi Toangoma Dar es Salaam.
Habari Picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment