Saturday 14 December 2019

MKURUGENZI WA TANTRADE ATEMA CHECHE

Mkurugenzi wa TANTRADE amewataka wale wote wanaoandaa maonyesho kutofanya maonyesho olelaolela ivyo amesema TANTRADE wameandaa muongozo kwawatu kufanya maonyesho kwenye viwanja vya sabasaba na atakaye kiuka hatuwa kali zitachukuliwa dhidi yake pia amewatoa ofu kuwa miundombinu na mazingira ya sabasaba ni mazuri

Habari picha na Victoria Stanslaus

MKURUGENZI WA VIWANDA AIPONGEZA TANTRADE

Mkurugenzi wa vuwanda amesema anawapongeza TANTRADE kwa kuwamasiaha watanzania kuanzisha viwanda pia amewapongeza kwa ongezeko la viwanda kwenye maonyesho ya viwanda na bidhaa za ndani ambako mwaka huu idadi imekiwa kubwa zaidi

Habari picha na Victoria Stanslaus

Tuesday 10 December 2019

ANNA ENGA AWAASA VIJANA KUINGIA KWENYE MAPAMBANO

Mkurugenzi wa HLRC Anna Enga amewataka vijana kujikita katika kupinga na kupambana na ukatili wa kijinsia pia amewataka watanzania kutoa taarifa wanavyoona vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa, maswala ya ubakwaji , ndoa za utotoni , ukeketaji na matendo ya ulawiti lengo la kutokomeza vitendo ivi ndiko tutafanikiwa katika siku za haki za binadamu LHRC inajivunia kwa watanzania kuwa huelewa wa kutoa taarifa umekuwa mkubwa  ambako kauli mbiu inasema vijana simamia haki za binadamu

Habari picha na Victoria Stanslaus

OFISI YA MUENDESHA MASHTAKA YASIKITISHWA NA KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA

Bi Anna kutoka ofisi ya muendesha mashtaka (DPP) amesema kesi nyingi za ukatili wa kijinsia zinaishia njiani kwakuwa ndugu wanamalizana nyumbani  na watu qaachane na dhana ya ofisi ya DPP kuwa awasimamii kesi za ukatili wa kijinsia ametoa wito kwa ndugu,wazazi na walezi kuipa ushirikiano ofisi ya DPP lengo kutokomeza maswala ya ukatili wa kijinsia nchini ameswma haya kwenye kilele cha kupinga ukatili wa kijinsia siku16 ambako uanza tarehe 25 mwezi wa 11 na kuitimishwa tarehe 10 mwezi wa 12 kila mwaka

Habari picha na Ally Thabiti

ANNA KULAYA HAAINISHA VIKWAZO VYA UKATILI WA KIJINSIA

Mkurugenzi WILDAF Anna Kulaya amesema mila nadesturi potofu pamoja na sheria zilizopitwa na wakati ni vikwazo na tatizo katika vita ya kutokomeza ukatili wa kijinsia ameitaka jamii kutekeleza mtakuwa mpango wa kiserikali kutokomeza ukatili wa kijinsia ifikapo mwaka 2022 kwa asilia 50

Ametoa wito kwa asasi za kiraia kuongeza kasi dhidi ya mapambano ya ukatili wa kijinsia amesema haya katika siku16 za kupinga ukatili wa kijinsia ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslausi

WILDAF YAWATAKA WATANZANIA KUONDOA OFU

Zakia Mwijuma Msangi wa WIRDAFU ameitaka jamii ya kitanzania kuondoa ofu dhidi ya matendo ya ukatili wa kijinsia yanvyotokea kwa kutoa taarifa kwenye vituo vya porisi na kwawatetezi wa haki za binadam pia watoeushirikiano pindi wanapoitajika kutowa ushaidi amesema katika kuadhimisha siku16 za kupika ukatili wa kijinsia ambako kila mwaka uhanza terehe 25 ya mwezi wa 11 nakuitimishwa tarehe 10 ya mwezi 12

Wanajivunia kuwa matendo ya ukatili wa kijinsia yamepunguwa kwa kiasi huku akipongeza asasi z kiraia ikiwemo LHRC Kwa kutowa elimu na msaada wa kisheria kwa waanga wa matendo ya ukatili wa kijinsia

Habari picha na ALly Thabiti

Sunday 8 December 2019

VETA YAMUUNGA MKONO RAISI MAGUFULI KWA VITENDO

Kiongozi wa VETA amesema wanawaandaa vijana wa kitanzania kwa wingi lengo kwenda kufanaya kazi kwenye viwanda vinavyoanzishwa na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuwafikia kwa wingi ametoa wito kwa watanzania kutohogopa kuurizia huduma zinazotolewa na VETA kwani kozi zao wanatoa kwa bei nafuu na wanatoa kwa mtu mwenye kiwango chochote cha elimu amesema haya siku ya viwanda na bidhaa za ndani sabasaba maonyesho jijini dar es salaam

Habari picha na  Victoria Stanslaus

WAAGIZAJI MABOMBA WAKALIA KUTI KAVU



Moja ya kampuni ya kutengeneza mabomba imewataka watanzania kununua mabomba yao kwani ni imara na yanaubora na kuhacha kunuwa mabomba kutoka nje ya nchi kwani si himara amesema haya kwenye maonyesho ya bidhaa za ndani na viwanda kwenye viwanja vya sabasaba jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

TANTRADE YAJA NA MIKAKATI MIZITO KWENYE SEKTA YA VIWANDA

Mkurugenzi wa TANTRADE amesema lengo la kuzikutanisha taasisi ya bodi ya nyama,bodi ya mazwa , bodi ya pamba, wenye viwanda na wafanya biashara  nasekta mbalimbali za kudhibiti ubora ikiwemo TBS lengo kila mmoja haainishe changamoto na vikwazo wazokutana nazo katka kutekeleza majukumu yao ya kazi hii itasaidia katika kuunga mkono juhudi na jitihada za kumuunga mkono raisi Magufuli katika kuelekea tanzania ya viwanda na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 amesema haya siku ya viwanda na maonyesho ya  bidhaa za ndani amesema haya kwenye viwanja vya sabasaba jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

WILAYA YA TEMEKE KUUNGA MKONO JUHUDI ZA BODI YA MAZIWA

Mkuu wa wilaya ya temeke Feriksi Rianiva ameipongeza bodi ya maziwa kwa kutoa elimu kwa watanzania juu ya kunywa maziwa kwawingi na kwa kuhanzisha viwanda  amesema haya katika maazimisho ya kunywa maziwa duniani ambako kila tarehe 8 mwezi wa12 ni siku ya maazimisho ametoa wito kwa watanzania kunywa maziwa kwa wingi amehaidi elimu ya unywaji wa maziwa kwenye wilaya yake watatowa zaidi

Habari picha na Victoria Stanslaus

UNYWAJI WA MAZIWA NI TISHIO KWA WATANZANIA


Mwenyekiti wa bodi ya maziwa amewataka watanzania kunywa maziwa kwa wingi kwaniyanasaidia katika kuimarisha mwili, kujenga mwili na kuupa mwili nguvu amesema kwa mwaka mtu anatakiwa kunywa rita 200 kwa mwaka kwawatanzania imekuwa tatizo kwa mwaka wanakunywa rita 49 amewataka watanzania kuchangamkia furusa ya biaahara ya maziwa

Kwa kuanzisha viwanda kwani maziwa yanainuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja, na kutengeneza ajira kwa kila mtu na uwendeshaji wake auna gharama  amesema tukifanya ivi tutakuwa tumemuunga mkono raisi Magufuli katika kuelekea tanzania ya viwanda na uchumi wa kati ifikapo mwaka2025 na kiasi cha ng'ombe  wapo wa kutosha zaidi ya milioni 38

Ametoa wito kwa watanzania ususani kwa vijana na watoto kunywa maziwa kwa wingi amesema haya kwenye maazimisho ya siku ya kunywa maziwa duniani kwenye viwanja vya sabasaba maonyesho jijini dar es salaam ambayo uazimishwa kila ifikapo tarehe8 ya mwezi12 kila mwaka

Habari picha na Victoria Stanslaus

Saturday 7 December 2019

WANAUSHIRIKA WA KALALI WAJA NA BIDHAA NONO NA KABAMBE



Katibu wa ushirika wa kina mama wa KALALI kutoka wilaya ya hai isa Hendru Rema amewataka watanzania kutumia bidhaa yao mpya ya yogati ya Yoba ambayo inasaidia katika mwili wa binadamu kurudisha kumbukumbu, inaponyesha vindonda vya tumbo na inasaidia Watoto wanaojisaidia haja ndogo kitandani ametoa wito kwa watanzania kunuwa bidhaa zao ambako maziwa,siagi,chise na yogati amesema haya kwenye maonyesho ya viwanda jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslau

AFSA MAUZO WA MAZIWA YA TANGA FRESH ANENA NA WATANZANIA



Protasi Kimario  amewataka watanzania kutumia maziwa ya TANGA FRESH kwani yamekidhi ubora la viwango vyote vya kitaifa na mataifa amesema wanauza tanzania nzima bidhaa zao ametoa wito kwa watanzania kunywa maziwa ya TANGA FRESH kutafanya kuimarika kwa afya zao na bei zao nafuu amesema haya kwenye maonyesho ya siku ya viwanda viwanja vya sabasaba jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

SIDO YAPONGEZWA


Naibu waziri wa viwanda na biashara Mwandisi Stera Ipupa Manyanya ameipongeza SIDO kwa utendaji wao mzuri wa kazi asema serikali imerizishwa kwa SIDO kuwajengea huwezo watanzania kwa kuanzisha viwanda na udharishaji wa mali viwandani ambako ivi sasa watanzania kupitia SIDO wanatengeneza bidhaa zenye ubora na ushindani na hatimae kupata masoko ndani na nje ya nchi

Ambako imepelekea kuwepo kwa viwanda 53500 serikali imewataka wawekezaji kuja kuwekeza kwa wingi kwani kodi zaidi ya168 serikali imeziondoa amesema haya siku ya maonyesho ya viwanda sabasaba maonyesho jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

YUNIDO YATANGAZA FAIDA KWA WATANZANIA

Mwakirishi mkazi wa YUNIDO amesema endapo tanzania itajiunga kwenye soko la pamoja la bara la Afrika itapata fedha nyingi kwani kiasi cha tilioni 3.5 kitapatikana kupitia soko ili kwa kuuza bidhaa mbambali na wateja watakuwa bilioni1.3 ivyo ameitaka serikali ya tanzania kuridhia mkataba huu amesema haya kwenye maonyesho ya viwanda ya 4 sabasaba maonyesho jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria stanslaus

TANTRADE YAFUNGUWA MILANGO KWA WAWEKEZAJI



Mkurugenzi wa TANTRADE Edwini amewataka wawekezaji waje kuwekeza nchini tanzania kwenye sekta mbalimbali amesema haya kwenye maazimisho siku ya viwanda sabasaba maonyesho jijini dar es salaam

Habari picha na victoria stanslaus

Friday 6 December 2019

PICHANI KAMPUNI YA AVIS LEGAL YAMTUNUKU ZAWADI MASUDI KIPANYA


Pichani Masudi Kipanya  akikabidhiwa zawadi ya frana na Hamza Jabri na viongozi wenzake wa kampuni ya uwakiri ya AVIS LEGAL siku ya kujitolea duniani
Hamza jabir
Habari picha na Victoria Stans

MASUDI KIPANYA AVUNJA UKIMYA KWA VIJANA

Ali Masudi maarufu Masudi Kipanya mchoraji wa vikatuni na mtangazaji wa redio ya CLAUSE  amewataka vijana wa kitanzabia pindi wanapo maliza vyuo wasiwe na tamaa ya kuajiriwa na badala yake wajitolee kutoa huduma kwa jamii hii itawasaidia kujenga ukaribu na watu na ndiko ambapo wataaminiwa kwa kuwa wazarendo na watapata kazi kwa uraisi

Ametoa rai kwa Hamza Jabri chini ya kampuni ya uwakiri ya AVIS LEGAL wasikate taa katika kuwapa mafunzo ya kujitolea kwa vijana amesema haya kwenye  maazimisho ya siku ya kujitolea duniani ambako uazimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 5 mwezi wa 12

Habari picha na Victoria Stanslaus

VIJANA WAIPA TANO KAMPUNI YA AVIS LEGAL


Kijana wa kike ameushukuru uongozi wa kampuni ya uwakili AVIS LEGAL chini ya kiongozi Hamza Jabir kwa kuwajengea uwezo katika maswala ya kujitolea yeye aliamini kuwa ukifanya kazi popote lazima ulipwe kumbe unaweza kuisaidia jamii katika kutatuwa matatizo yao bila malipo yoyote

Ametoa wito kwa vijana wenzake waondokane na mawazo mgando kwamba amna kazi za kujitolea si kweli ameziomba asasi na taasisi zingine kuunga mkono juhudi zinazofanywa na kampuni ya kizarendo ya uwakili ya AVIS LEGAL ya kutoa elimu kuusu kujitolea kwa vijana tena bila malipo amesema haya kwenye siku ya kujitolea duniani


Habari picha na Victoria Stanslaus

HAMZA JABIR AWAFUNDA VIJANA

Hamza Jabir wakiri wa kujitegemea kutoka kampuni ya uwakir AVIS LEGAL  amewataka vijana wa kitanzania wajitolee kwenye shuuri mbalimbali kwani ndiko kutawjengea kupata furusa mbalimbali za ajira na kutawasaidia kuwajengea uwezo wa kufanya kazi bila woga wala ofu amesema haya kwenye semina yakuwajengea uwezo mawakiri vijana kwenye  hotel ya  Ramada katika kilele cha maazimisho ya kujitolea duniani

Ambako uazimishwa kila ifikapo tarehe 5mwezi12 kila mwaka

Habari picha na Victoria Stanslaus

EWURA YATANGAZA VITA

Mjumbe wa EWURA llala Enjo Endru amewataka watanzani kuacha kupandisha mafuta kiolela ukuakisisitiza kuwa hatuwa kali zitachukuliwa dhidi yao na wale watakao mwaga maji amewato ofu watanzania kuwa bei za umeme azitopanda kiolela olela kwani raisi Magufuri ametoa muongozo mzuri amesema haya siku ya kilele cha siku ya ushindani duniani

Habari picha na Victoria Stanslaus

OREX YAJIVUNIA SIKU YA USHINDANI DUNIANI

Afsa masoko wa Oili wanajivunia siku ya ushindani kwa kuweza kuwaelimisha watanzania ubora wa bidhaa zao na kuwataka wazitumie kwani wanauza bei nafuu na zinapatikana kwa wepesi zaidi Afsa masoko Enoki ametoa wito kwa tume ya ushindani  kuweka maonyesho kama haya mara kwa mara amesema haya kwenye kilele cha siku ya ushindani duniani kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

BODABODA YAPONGEZA TUME YA USHINDANI

Habdallah kiongozi wa bodaboda ameipongeza tume ya ushindani kwani vifo vya waendesha bodaboda vimepunguwa pia ulemavu unaotokana na bodaboda umepunguwa hii inatokana na tume ya ushindani kwa kushirikiana na LATRA pamoja na EWURA kwa kuwapa elimu wauzaji wa pikipiki na wauzaji wa Oili kuuza bidhaa zao zenye ubora na ushindani unaofaa kwenye masoko

Ametoa wito kwa yume ya ushindani kuongeza kasi kwa kutoa elimu na waendelee kwashirikisha waendesha bodaboda kama walivyofanya  siku ya ushindani duniani

Habali picha na Victoria Stanslaus

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA HABARIKI SIKU YA USHINDANI



Pichani waziri wa viwanda na biashara Inosendi Bashingwa akiambatana na mwenyekiti wa tume ya ushindani Humphrey Moshi  alipotembelea siku ya kilele ya siku ya ushindani kwenye banda la tume ya ushindani kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam Inosendi Bashungwa akitia saini kwenye kitabu cha wageni kwa kudhiirisha kuwa amebariki na kukubali maonyesho  na maazimisho ya siku ya ushindani duniani yalioandaliwa na tume ya ushindani ni mazuri na bora

Habari picha na Victoria Stanslaus

TUME YA USHINDANI YAITIMISHI SIKU YA USHINDANI KWA KISHINDO



Mkurugenzi wa tume ya ushindani John  Mduma amesema wametoa elimu kwa wananchi pamoja na wadau wa sekta mbalimbali umuhimu wa kuzingatia maswala ya ushindani katika kuongeza uzarishaji na ukuaji kwa uchumi na kujenga uchumi wa soko siku ya ushindani wamearika taasisi za udhibiti ili kuwapa elimu Watanzania na wamearika sekta binausi kwa kuonesha bidhaa zao kwenye maonyesho ya siku ya ushindani  viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam  jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

TUME YA USHINDANI YAKUMBWA NA VIKWAZO

Mwenyekiti wa tume ya ushindani  Humphrey  Moshi amesema uhaba wa rasilimali watu,uchache wa fedha na upungufu wa teknorojia izi ndizo chanagamoto kubwa ambazo zipo kwenye tume ya ushindani ingawa ivi ni vikwazo kwao lakini wanakabiliana nazo katika kutimiza majukumu yao ya kila siku Mwenyekiti wa tume ya ushindani amesema kupitia kongamano la siku ya ushindani tume itaenda kutoa elimu kwa wananchi kuanzia ngazi za chini

Wataenda kuwapa elimu wafanyabiashara wadogo na kusambaza huwela kwa wananchi kazi za tume ya ushindani na majukumu yake lengo wananchi waweze kutoa malalamiko yao na changamoto wanazokutana nazo katika maswala ya ushindani  pia kuongeza uzalishaji na wavutia wawekezaji  mwenyekiti wa tume ya ushindani  amezipongeza Taasisi  zote zilizoshiriki siku ya ushindani duniani 

Amemshukuru mh waziri wa viwanda na biashara Inosendi Bashungwa kwa ushirikiano wake na utendaji wake mzuri wa kazi amesema haya siku ya kilele cha siku ya ushindani duniani ilioazimishwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es

Habari picha na Victoria Stanslaus

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATOA MAAGIZO MAZITO TUME YA USHINDANI


Inosendi Bashungwa waziri wa viwanda na biashara anaitaka tume ya ushindani kutokuwa na urasimu na kutokubali kuyumbishwa na wafanya biashara wakubwa katika kutekeleza majukumu yake Waziri amesma vitendo vya rushwa viongozi wa tume ya ushindani wasivikubali lengo watoe haki kwa wanyonge kwani tume imeanzishwa kwaajili ya kuleta usawa wa kishindani kwenye biashara

Ameipongeza tume kwa kumpa haki mfanya biashara  mdogo wa sabuni ambae alikuwa ananyonywa na kugandamizwa na mfanya biashara mkubwa ambae aliiba rebo yake Inosendi Bashungwa ameupongeza uongozi wa tume ya ushindani kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kuazimisha siku ya ushindani duniani  ametoa wito kwa tume ya ushindani kutekeleza kwa vitendo ushauri,maoni na mapendekezo yaliotolewa kwenye kongamano la siku ya ushindani duniani amesema haya siku ya kilele cha ushindani  viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

Wednesday 4 December 2019

PICHANI MUSA OMARY AKITOA HUDUMA


Musa Omary akita maelezo wateja walipotembea kwenye banda lao FAIRY DELIGHTS  ambapo walikuwa wanataka kufahamu bidha zao ikiwemo cripsi ,maandazi,mikate,karanga ceki, tambi,biskuti pamoja sambusa siku ya ushindani  ambako kitaifa inaazimishwa jijini dar es salaam viwanja vya mnazi mmoja Tume ya ushindani ndio waandaji

Habari picha na Victoria Stanslaus

FAIRY DELIGHTS WAJA NA CHAKULA CHA BEI NAFUU


Mfanya kazi wa FAIRY DELIGHTS Musa Omary amesema wanauza chakula kwa bei nafuu wali,pilau na biliani siku ya ijumaa kwa shilingi elfu 12000 ambako unapata maji na soda pia kuanzia saa mbili aaubuhi mpaka saa tano kuna chai nzito ya kutosha kwa bei nafuu na saa sita mpaka saa kumi jioni kuna chakula kinono na cha kutosha kwenye migaawa yao NHC mtaa wa samora wote mnakaribishwa

Habari picha na Victoria Stanslaus

MWENYEKITI WA TUME YA USHINDANI AFUNGUA MILANGO KWA WATANZANIA

Humphrey Moshi mwenyekiti wa tume ya ushindani tanzania bara amewataka watanzania na sio watanzania kufika kwenye ofisi za tume ya ushindani kwaajili ya kutoa malalamiko yanayousu maswala ya ushindani  ya bidhaa bandia,wizi wa biashara za mtandaoni amesema haya kwenye kongamano la siku ya ushindani duniani  kwenye ofisi ya tume ya ushindani jijini Dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

TUME YA USHINDANI YAAINISHA MIKAKATI MIZITO

Katika kuazimisha siku ya ushindani duniani tume ya ushindani Tanzania bara imewakutanisha wadau mbalimbali kwenye kongamano wakiwemo TRC, TASAC naTRA lengo kuwajengea uwezo juu ya maswara ya ushindani amesema haya mkurugenzi mtendaji wa tume ya ushindani

Ameongezea kwa kusema wataendelea kuelimisha jamii kwa kuwapa mafunzo mbalimbali
Habari picha na Victoria Stanslaus

TUME YA USHINDANI NZAZIMBA YAPIGWA JEKI

Kiongozi wa Tume ya ushindani Nzaziba anawashukuru tume ya ushindani tanzania bara kwa kuwajengea uwezo katika kukabiliana na maswara  ya ushindani tume ya ushindani Nzazibari ilianzishwa mwaka 2018 kwa sheria namba tano licha ya kukosekana changamoto ya kukosekana uweredi, usafirishaji wa njia za panya,rushwa na wafanya biashara kutotoa taarifa kwa wakati

Lakini tume imepiga atuwa kubwa ambako imeshuurikia kesi 4 ikiwemo kesi ya sabuni, tomato na mchere amesema haya kwenye kongamano la siku ya ushindani kwenye ukumbi wa tume ya ushindani jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

Tuesday 3 December 2019

MSHAURI WA SERIKALI AJAWA NA MATUINI


Mshauri wa serikali na mwana utafiti  kwenye upande wa sera matokeo yaliotolewa na benki ya dunia katika kukuwa kwa sekta ya kilimo nchini tanzania  haya ni mageuzi makubwa kiuchumi ambako kilimo kimekuwa cha biashara na kwa mara ya kwanza kumeibuka mashamba makubwa na mashamba ya kati  na mashamba haya yapo karibu na wakulima wadogo wadogo

Serikali imetoa pembejeo na kuwapeleka wataalam kwa wakulima na kuwatafutia masoko na mazao yao kununulika

Habari picha na Victoria Stanslaus

BENKI YA DUNIA YADUWAZWA NA SEKTA YA KILIMO TANZANI



Isinika Modamba mchumi mwandamizi wa kilimo kutoka benki ya dunia amesema nakutokana  na utafiti walioufanya kwa miaka2 wamegunduwa na kubaini kukuwa kwa kasi kwa sekta ya kilimo tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kwani masoko yameongezeka uzalishaji na ajira kwa watanzania imeongezeka

Benki ya dunia imetoa mapendekezo kwa serikali ya tanzania  kuboresha na kuimarisha mifumo ya umwagiliaji na ardhi kuiongezea rubuta kwani mboji imepungua kwa asilimia 60 pia wafungue furusa za uwekezaji kwenye kilimo pamoja na kutenga pesa za kutoshe kwenye sekta ya kilimo

Habari picha na Victoria Stanslaus

FAIRY DELIGHTS YAJA NA BIDHAA KABAMBE KWENYE MAONYESHO YA USHINDANI


Rashidi Kusaga wa kampuni ya FAIRY DELIGHTS amewataka watanzania watumie bidhaa zao za ceki,mikate,aisklim na maandazi amako makao makuu yao yapo Shopazi plaza kwa huduma za watoto au familia wanapatikana sliipwey  pia wana migaawa mikocheni, shopazi plaza pia wanapatikana samora zamani ilikuwa ikijulikana kama samakisamaki

Amewatoa ofu watanzania kuwa bidhaa zao nizabei nafuu na wana uwezo wa kusambaza tanzania nzima mawasiliano yao 0787876666 na imail yao murtaza@fairydelights.co.tz na barua pepe yao www.fairydelights.co.tz pia wameipongeza tume ya ushindani kwa kazi nzuri wanazofanya

Habari picha na Victoria Stanslaus

TUME YA USHINDANI YAPEWA TANO




Sagafu Nurdini Rajabu kutoka kampuni ambayo inausika na kukodisha vifaa vya ujenzi wa barabara,viwanda na kunyanyua vitu vizito piawana mashine wanazosambaza kwenye migodi ya madini wameipongeza tume ya ushindani kwakuja na siku ya ushindani kwa kuweka maonyesho kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam

Kwani kampuni yao imeweza kunufaika kwa kuwapa elimu watu wanaofika kwenye viwanja ivi ,wametangaza bidhaa zao nawatuwamependa huduma yao ivyo wameza kupata wateja wengi  ametoa wito kwa tume ya ushindani maonyesho kama haya yafanyikekwa mwaka marambili kwani yanafaida kubwa

Habari picha na Victoria Stanslaus

TUME YA USHINDANI YATANGAZA VITA KALI

Frenk Mdimi afsa mawasiriano wa tume ya ushindani amesema mtu akibainika anauza au kusambaza na kutengeneza bidhaa bandia ili ni kosa la jinai kwa mujibu wa sheria za alama za bidhaa bandia ya mwaka1963 nakufanyiwa malekebisho mwaka 2012 nakutokana kanuni za mwaka2010 ataenda jera miaka4 adi 15

Au kulipa faini ya milioni10 hadi50 izi ndio adhabu zake tume ya ushindani imeweza kutoa elimu kwa kiwango kikubwa ambako kwasasa wanashuurikia watu100 wanao shuurika na bidhaa bandia ukilinganisha na miaka iyopita idadi ilikuwa kubwa amesema haya kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam
habari picha na Victoria Stanslaus

Monday 2 December 2019

TANEA YABAINI FIGISU FIGISU UCHAGUZI SERIKAlI ZA MTAA

TANEA yashauri  mazito matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa Wallesi Mayunga Mkurugenzi wa ufundi wa asasi ya TANEA ambayo inafanya kazi ya kusimamia chaguzi mbalimbali na kutoa elimu ya uraia na kupiga kula wameitaka serikari chaguzi za serikali za mitaa mwaka2025 zifanyike sambamba na uchaguzi mkuu kwani watanzania wamekosa mwamko wa kwenda kuchagua viongozi hawa

Nagharama nyingi za fedha zinapotea amezitaka asasi za kiraia kuungana katika kutoa elimu ya upigaji kula amewataka viongozi wa kiserikali kutotoa taarifa zenye mkanganyokoTANEA imefanya uhangalizi kwenye mikoa 13 na wilaya40 tanzania bara na kubaini kukosekana kwa wananchi kwenye vituo vya kupigia kula na kutokuwepo kwa mawakala pamoja na uhangalizi wa ucchaguzi kujitoa kw CHADEMA,CUF,CHAUMA navyama vingine ambako uchaguzi huu ni watija lakini huu ndio uchaguzi mkubwa wenye kaasolo na mapungufu




Habari picha na Victoria Stanslaus



Sunday 1 December 2019

Makamu mwenyekiti ccm taifa Komledi Filipu Mangura amevitata vyama vya siasa kumuunga mkono raisi Magufuli na si kumbeza na kumkashifu kwani ameweza kupambana na mafisadi, wala rushwa , wabadhilifu wa mali pamoja na kusimamia rasilimali zetu uku akiwatetea watanzania wanyonge na kulasimisha makundi yaliokuwa yakionewa

Wakiwemo wamachinga ambako amewapa vitambulisho uku kundi ili likichangia kiasi cha fedha bilioni29 ambapo apo awali serikali ilikuwa ikipoteza fedha hizi mzee Mangura amesema siri ya ushindi kwenye serikali za mtaa wa asilimia99 kwamwaka 2019 walioupata chama cha ccm ni utekelezaji wa vitendo wa ahadi za raisi Magufuli ivyo amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka2020 wapinzani wasaau kwamba watashika dora ya tanzania kwani ccm itapata ushindi wa kishindo tena mapema labda 

Amewapongeza jumuhiya ya wazazi ccm taifa kwa kuweka kongamano kwani hii ni elimu tosha na mafunzo tosh kwa wapinzani kwa kuonesha vitu alivyofanya raisi Magufuli

Habari picha na Victoria Stanslaus

NAIBu KATIBU MKUU WAJUMUHIYA YA WAZAZI CCM TAIFA AHANIKA MAZURI ALIYE FANYA RAISI MAGUFULI

Tija Magoma naibu katibu mkuu jumuhiya ya wazazi ccm taifa amesema raisi Magufuli ameweza kutenga fedha bilioni 450 kwaajili ya kuwakopesha wanafunzi wa elimu ya juu, ametoa bilioni415 kwaajili ya manunuzi ya vifaa tiba, vitenganishi vya dawa na madawa

Na ujenzi wa daraja la juu la ubungo ametoa fedha bilioni247 pia ametoa kiasi cha bilioni 280.5 kwaajili ya elimu bule kwa ngazi ya msingi hadi secondary  Tija Magoma amesema kongamano walilolifanya kwaajili ya kumpongeza raisi Magufuli kwa mazuri aliyofanya pamoja na kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa sadec na kuweza kununua ndege, meli, vivuko na ujenzi wa maospitali
Amesema nivema raisi Magufuli aongezewe miaka ata20 ya kuongoza tanzania amesema haya jijini dar es salaam kwenye kongamano la jumuhiya ya wazazi ccm taifa

Habari picha na Victoria  Stanslaus





Mwenye kiti wa jumuhiya ya wazazi mkoa wa Kigoma Nikolausi Zakaria kwa niaba ya mkoa wa kigoma wanampongeza rais Magufuli ambaye mwenyekiti wa ccm taifa kwa kutekeleza sera ya ccm kwa vitendo ikiwemo ujenzi wa barabara kutoka nyakanazi,kibondo mpaka kasuru pia ameweza kufufungua miradi ya kibiashara

Na kuna barabara kutoka kasuru mpaka buigwe ishapata mkandarasi amesema haya kwenye kongamano lililo andaliwa na jumuhia ya wazaziccm taifa ivyo kupiria kongamano hili amewataadharisha wapinzani kuelekea uchaguzi wa2020 wajitathimini kwani kuna uwezekano wasiambulie kura ata moja




habari picha na Victoria Stanslaus
Mchungaji Oswadi Hermani Mrai  mwenyekiti wa jumuhiya ya wazazi wilaya ya mvomelo mkoa wa Morogoro na nimjumbe wa mkutano mkuu wa jumuhiya ya wazazi ccm taifa amevitaka vyama vya siasa hapa nchini tanzania kuacha na kumkejeri na kumkashifu raisi Magufuli

Pia amevitaka viwe ma siasa safi na sela mzuri na viongozi wao wawe wazarendo nawenye uweredi na si wenye kitukana matusi pia jumuhia ya wazazi ccm taifa amewapongeza kwa kudhibiti mmomonyoko wa maadili nchini tanzania amesema haya kwenye kongamano la kukumpongeza rais Magufuli kwa utendaji wa kazi zake vizuri

habari picha na Victoria STanslaus

SERINA ERENESTI MJUMBE WA MKUTANO MKUU JUMUHIYA YA WAZAZI CCM TAIFA WILAYA YA MLELE

Amempongeza raisi Magufuli kwa ujenzi wa reli ya kisasa,ununuzi wa ndege pamoja na kupunguza ajali za barabarani kwa kiwango kikubwa pia ameupongeza uongozi wa jumuhiya ya wazazi ccm taifa kwa kuleta kongamano

Kwani wamejifunza maswala ya ufugaji wa nyuki na kutangaza biashara zao
 habari picha na Victoria Stanslaus

JUMUHIYA YA WAZAZI TAIFA YAPEWA MBINU MZITO

Filimoni Josefati ameitaka jumuhiya ya wazazi ccm taifa kujikita katika shuuli ya ufugaji nyuki kwani inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuingiza fedha ambako mpaka sasa Filimoni ameweza kuhajiri vijana 80 na ameweza kuifadhi misitu na kusambaza asali ndani na nje ya tanzania 

Yeye amejitolea kutoa elimu ya ufugaji nyuki kwenye jumuhiya ya wazazi ccm ngazi ya chini mpaka taifa amesema haya kwenye kongamano la kumpongeza raisi Magufuli kwenye utendaji kazi wake mzuri ambako jumuhia ya wazazi ccm taifa ndio waandaaji

 Habari picha na Victoria  Stanslaus

WAZIRI WA KIlIMO AWATANGAZIA NEEMA WAKULIMA

Waziri wa kilimoJafeti Asunga amewatoa ofu wakulima wa tumbaku kuwa makampuni ya kykununua tumbaku zao yamepatikana ivyo walime kwa bidii na wafuate ushauri wa maafisa ugani wa kilimo na wazingatie sheria, kanuni na utaratibu wa zao la tumbaku ikiwemo kupanda miti 

Pia amepongeza kampuni za kitanzania kujitokeza katika kununua tumbaku huku akiiomba kampuni ya TLTC kujitokeza kununu tumbaku kama awali uku akiiomba tume ya ushindani kuondoa kikwazo cha dola za kimarekani bilioni 2 kwa TLTC uku akiomba TRA kuwarejeshea TLTC fedha bilioni 20 za vati 

Ametoa wito kwa watanzania waanze shughuri za kilimo kwani mvua zimesha anza amesema haya jijini dar es salaam kwenye ofisi za wizara ya kilimo

 habari picha na Victoria Stanslaus
Dokta Ewaldo Vitusi Komba ameipongeza serikali ya tanzania kwa kuweza kushuulika na magonjwa ya Ini hapa nchini kwani imesaidia kwa kiwango kikubwa watu kutibiwa hapa kwa gharama nafuu .

Amesema chama cha Tagesi ambacho kinashuulika na maswala ya afya ya chakula na Ini kinawataka watanzania wale vyakula vyenye riishe bora ili kuepukana na magonjwa ya ini


Habari picha na Victoria Stanslaus
wanawake wanatakiwa kufanya kazi kwa bii haya yamesemwa na mwanachama wa chama cha madaktali wanaojishughurisha kutibu mfumo wa chakula na ugonjwa waIni dokta Ana pia amewataka watanzania kujitokeza kwa wingi katika kupata tiba kwenye Hospitali yake iliyopo tabata senene


Habari picha na Victoria Stanslaus  

LIPUMBA AMBEZA RAIS MAGUFULI