Monday, 2 December 2019

TANEA YABAINI FIGISU FIGISU UCHAGUZI SERIKAlI ZA MTAA

TANEA yashauri  mazito matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa Wallesi Mayunga Mkurugenzi wa ufundi wa asasi ya TANEA ambayo inafanya kazi ya kusimamia chaguzi mbalimbali na kutoa elimu ya uraia na kupiga kula wameitaka serikari chaguzi za serikali za mitaa mwaka2025 zifanyike sambamba na uchaguzi mkuu kwani watanzania wamekosa mwamko wa kwenda kuchagua viongozi hawa

Nagharama nyingi za fedha zinapotea amezitaka asasi za kiraia kuungana katika kutoa elimu ya upigaji kula amewataka viongozi wa kiserikali kutotoa taarifa zenye mkanganyokoTANEA imefanya uhangalizi kwenye mikoa 13 na wilaya40 tanzania bara na kubaini kukosekana kwa wananchi kwenye vituo vya kupigia kula na kutokuwepo kwa mawakala pamoja na uhangalizi wa ucchaguzi kujitoa kw CHADEMA,CUF,CHAUMA navyama vingine ambako uchaguzi huu ni watija lakini huu ndio uchaguzi mkubwa wenye kaasolo na mapungufu




Habari picha na Victoria Stanslaus



No comments:

Post a Comment