Mkurugenzi wa TANTRADE amesema lengo la kuzikutanisha taasisi ya bodi ya nyama,bodi ya mazwa , bodi ya pamba, wenye viwanda na wafanya biashara nasekta mbalimbali za kudhibiti ubora ikiwemo TBS lengo kila mmoja haainishe changamoto na vikwazo wazokutana nazo katka kutekeleza majukumu yao ya kazi hii itasaidia katika kuunga mkono juhudi na jitihada za kumuunga mkono raisi Magufuli katika kuelekea tanzania ya viwanda na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 amesema haya siku ya viwanda na maonyesho ya bidhaa za ndani amesema haya kwenye viwanja vya sabasaba jijini dar es salaam
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment