Musa Omary akita maelezo wateja walipotembea kwenye banda lao FAIRY DELIGHTS ambapo walikuwa wanataka kufahamu bidha zao ikiwemo cripsi ,maandazi,mikate,karanga ceki, tambi,biskuti pamoja sambusa siku ya ushindani ambako kitaifa inaazimishwa jijini dar es salaam viwanja vya mnazi mmoja Tume ya ushindani ndio waandaji
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment