Friday, 6 December 2019

TUME YA USHINDANI YAITIMISHI SIKU YA USHINDANI KWA KISHINDO



Mkurugenzi wa tume ya ushindani John  Mduma amesema wametoa elimu kwa wananchi pamoja na wadau wa sekta mbalimbali umuhimu wa kuzingatia maswala ya ushindani katika kuongeza uzarishaji na ukuaji kwa uchumi na kujenga uchumi wa soko siku ya ushindani wamearika taasisi za udhibiti ili kuwapa elimu Watanzania na wamearika sekta binausi kwa kuonesha bidhaa zao kwenye maonyesho ya siku ya ushindani  viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam  jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment