Friday, 6 December 2019

MASUDI KIPANYA AVUNJA UKIMYA KWA VIJANA

Ali Masudi maarufu Masudi Kipanya mchoraji wa vikatuni na mtangazaji wa redio ya CLAUSE  amewataka vijana wa kitanzabia pindi wanapo maliza vyuo wasiwe na tamaa ya kuajiriwa na badala yake wajitolee kutoa huduma kwa jamii hii itawasaidia kujenga ukaribu na watu na ndiko ambapo wataaminiwa kwa kuwa wazarendo na watapata kazi kwa uraisi

Ametoa rai kwa Hamza Jabri chini ya kampuni ya uwakiri ya AVIS LEGAL wasikate taa katika kuwapa mafunzo ya kujitolea kwa vijana amesema haya kwenye  maazimisho ya siku ya kujitolea duniani ambako uazimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 5 mwezi wa 12

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment