Sunday, 8 December 2019
UNYWAJI WA MAZIWA NI TISHIO KWA WATANZANIA
Mwenyekiti wa bodi ya maziwa amewataka watanzania kunywa maziwa kwa wingi kwaniyanasaidia katika kuimarisha mwili, kujenga mwili na kuupa mwili nguvu amesema kwa mwaka mtu anatakiwa kunywa rita 200 kwa mwaka kwawatanzania imekuwa tatizo kwa mwaka wanakunywa rita 49 amewataka watanzania kuchangamkia furusa ya biaahara ya maziwa
Kwa kuanzisha viwanda kwani maziwa yanainuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja, na kutengeneza ajira kwa kila mtu na uwendeshaji wake auna gharama amesema tukifanya ivi tutakuwa tumemuunga mkono raisi Magufuli katika kuelekea tanzania ya viwanda na uchumi wa kati ifikapo mwaka2025 na kiasi cha ng'ombe wapo wa kutosha zaidi ya milioni 38
Ametoa wito kwa watanzania ususani kwa vijana na watoto kunywa maziwa kwa wingi amesema haya kwenye maazimisho ya siku ya kunywa maziwa duniani kwenye viwanja vya sabasaba maonyesho jijini dar es salaam ambayo uazimishwa kila ifikapo tarehe8 ya mwezi12 kila mwaka
Habari picha na Victoria Stanslaus
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment