Tuesday, 3 December 2019

BENKI YA DUNIA YADUWAZWA NA SEKTA YA KILIMO TANZANI



Isinika Modamba mchumi mwandamizi wa kilimo kutoka benki ya dunia amesema nakutokana  na utafiti walioufanya kwa miaka2 wamegunduwa na kubaini kukuwa kwa kasi kwa sekta ya kilimo tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kwani masoko yameongezeka uzalishaji na ajira kwa watanzania imeongezeka

Benki ya dunia imetoa mapendekezo kwa serikali ya tanzania  kuboresha na kuimarisha mifumo ya umwagiliaji na ardhi kuiongezea rubuta kwani mboji imepungua kwa asilimia 60 pia wafungue furusa za uwekezaji kwenye kilimo pamoja na kutenga pesa za kutoshe kwenye sekta ya kilimo

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment