Friday, 6 December 2019

VIJANA WAIPA TANO KAMPUNI YA AVIS LEGAL


Kijana wa kike ameushukuru uongozi wa kampuni ya uwakili AVIS LEGAL chini ya kiongozi Hamza Jabir kwa kuwajengea uwezo katika maswala ya kujitolea yeye aliamini kuwa ukifanya kazi popote lazima ulipwe kumbe unaweza kuisaidia jamii katika kutatuwa matatizo yao bila malipo yoyote

Ametoa wito kwa vijana wenzake waondokane na mawazo mgando kwamba amna kazi za kujitolea si kweli ameziomba asasi na taasisi zingine kuunga mkono juhudi zinazofanywa na kampuni ya kizarendo ya uwakili ya AVIS LEGAL ya kutoa elimu kuusu kujitolea kwa vijana tena bila malipo amesema haya kwenye siku ya kujitolea duniani


Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment