Wednesday, 4 December 2019

FAIRY DELIGHTS WAJA NA CHAKULA CHA BEI NAFUU


Mfanya kazi wa FAIRY DELIGHTS Musa Omary amesema wanauza chakula kwa bei nafuu wali,pilau na biliani siku ya ijumaa kwa shilingi elfu 12000 ambako unapata maji na soda pia kuanzia saa mbili aaubuhi mpaka saa tano kuna chai nzito ya kutosha kwa bei nafuu na saa sita mpaka saa kumi jioni kuna chakula kinono na cha kutosha kwenye migaawa yao NHC mtaa wa samora wote mnakaribishwa

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment