Mshauri wa serikali na mwana utafiti kwenye upande wa sera matokeo yaliotolewa na benki ya dunia katika kukuwa kwa sekta ya kilimo nchini tanzania haya ni mageuzi makubwa kiuchumi ambako kilimo kimekuwa cha biashara na kwa mara ya kwanza kumeibuka mashamba makubwa na mashamba ya kati na mashamba haya yapo karibu na wakulima wadogo wadogo
Serikali imetoa pembejeo na kuwapeleka wataalam kwa wakulima na kuwatafutia masoko na mazao yao kununulika
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment