Sunday, 1 December 2019

WAZIRI WA KIlIMO AWATANGAZIA NEEMA WAKULIMA

Waziri wa kilimoJafeti Asunga amewatoa ofu wakulima wa tumbaku kuwa makampuni ya kykununua tumbaku zao yamepatikana ivyo walime kwa bidii na wafuate ushauri wa maafisa ugani wa kilimo na wazingatie sheria, kanuni na utaratibu wa zao la tumbaku ikiwemo kupanda miti 

Pia amepongeza kampuni za kitanzania kujitokeza katika kununua tumbaku huku akiiomba kampuni ya TLTC kujitokeza kununu tumbaku kama awali uku akiiomba tume ya ushindani kuondoa kikwazo cha dola za kimarekani bilioni 2 kwa TLTC uku akiomba TRA kuwarejeshea TLTC fedha bilioni 20 za vati 

Ametoa wito kwa watanzania waanze shughuri za kilimo kwani mvua zimesha anza amesema haya jijini dar es salaam kwenye ofisi za wizara ya kilimo

 habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment