Sunday, 1 December 2019

Makamu mwenyekiti ccm taifa Komledi Filipu Mangura amevitata vyama vya siasa kumuunga mkono raisi Magufuli na si kumbeza na kumkashifu kwani ameweza kupambana na mafisadi, wala rushwa , wabadhilifu wa mali pamoja na kusimamia rasilimali zetu uku akiwatetea watanzania wanyonge na kulasimisha makundi yaliokuwa yakionewa

Wakiwemo wamachinga ambako amewapa vitambulisho uku kundi ili likichangia kiasi cha fedha bilioni29 ambapo apo awali serikali ilikuwa ikipoteza fedha hizi mzee Mangura amesema siri ya ushindi kwenye serikali za mtaa wa asilimia99 kwamwaka 2019 walioupata chama cha ccm ni utekelezaji wa vitendo wa ahadi za raisi Magufuli ivyo amesema kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka2020 wapinzani wasaau kwamba watashika dora ya tanzania kwani ccm itapata ushindi wa kishindo tena mapema labda 

Amewapongeza jumuhiya ya wazazi ccm taifa kwa kuweka kongamano kwani hii ni elimu tosha na mafunzo tosh kwa wapinzani kwa kuonesha vitu alivyofanya raisi Magufuli

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment