Tuesday, 10 December 2019

ANNA KULAYA HAAINISHA VIKWAZO VYA UKATILI WA KIJINSIA

Mkurugenzi WILDAF Anna Kulaya amesema mila nadesturi potofu pamoja na sheria zilizopitwa na wakati ni vikwazo na tatizo katika vita ya kutokomeza ukatili wa kijinsia ameitaka jamii kutekeleza mtakuwa mpango wa kiserikali kutokomeza ukatili wa kijinsia ifikapo mwaka 2022 kwa asilia 50

Ametoa wito kwa asasi za kiraia kuongeza kasi dhidi ya mapambano ya ukatili wa kijinsia amesema haya katika siku16 za kupinga ukatili wa kijinsia ukumbi wa mwalimu Nyerere jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslausi

No comments:

Post a Comment