Katika kuazimisha siku ya ushindani duniani tume ya ushindani Tanzania bara imewakutanisha wadau mbalimbali kwenye kongamano wakiwemo TRC, TASAC naTRA lengo kuwajengea uwezo juu ya maswara ya ushindani amesema haya mkurugenzi mtendaji wa tume ya ushindani
Ameongezea kwa kusema wataendelea kuelimisha jamii kwa kuwapa mafunzo mbalimbali
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment