Saturday, 7 December 2019

SIDO YAPONGEZWA


Naibu waziri wa viwanda na biashara Mwandisi Stera Ipupa Manyanya ameipongeza SIDO kwa utendaji wao mzuri wa kazi asema serikali imerizishwa kwa SIDO kuwajengea huwezo watanzania kwa kuanzisha viwanda na udharishaji wa mali viwandani ambako ivi sasa watanzania kupitia SIDO wanatengeneza bidhaa zenye ubora na ushindani na hatimae kupata masoko ndani na nje ya nchi

Ambako imepelekea kuwepo kwa viwanda 53500 serikali imewataka wawekezaji kuja kuwekeza kwa wingi kwani kodi zaidi ya168 serikali imeziondoa amesema haya siku ya maonyesho ya viwanda sabasaba maonyesho jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment