Saturday, 7 December 2019

WANAUSHIRIKA WA KALALI WAJA NA BIDHAA NONO NA KABAMBE



Katibu wa ushirika wa kina mama wa KALALI kutoka wilaya ya hai isa Hendru Rema amewataka watanzania kutumia bidhaa yao mpya ya yogati ya Yoba ambayo inasaidia katika mwili wa binadamu kurudisha kumbukumbu, inaponyesha vindonda vya tumbo na inasaidia Watoto wanaojisaidia haja ndogo kitandani ametoa wito kwa watanzania kunuwa bidhaa zao ambako maziwa,siagi,chise na yogati amesema haya kwenye maonyesho ya viwanda jijini dar es salaam

Habari picha na Victoria Stanslau

No comments:

Post a Comment