Kiongozi wa Tume ya ushindani Nzaziba anawashukuru tume ya ushindani tanzania bara kwa kuwajengea uwezo katika kukabiliana na maswara ya ushindani tume ya ushindani Nzazibari ilianzishwa mwaka 2018 kwa sheria namba tano licha ya kukosekana changamoto ya kukosekana uweredi, usafirishaji wa njia za panya,rushwa na wafanya biashara kutotoa taarifa kwa wakati
Lakini tume imepiga atuwa kubwa ambako imeshuurikia kesi 4 ikiwemo kesi ya sabuni, tomato na mchere amesema haya kwenye kongamano la siku ya ushindani kwenye ukumbi wa tume ya ushindani jijini dar es salaam
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment