Dokta Ewaldo Vitusi Komba ameipongeza serikali ya tanzania kwa kuweza kushuulika na magonjwa ya Ini hapa nchini kwani imesaidia kwa kiwango kikubwa watu kutibiwa hapa kwa gharama nafuu .
Amesema chama cha Tagesi ambacho kinashuulika na maswala ya afya ya chakula na Ini kinawataka watanzania wale vyakula vyenye riishe bora ili kuepukana na magonjwa ya ini
No comments:
Post a Comment