Mkuu wa wilaya ya temeke Feriksi Rianiva ameipongeza bodi ya maziwa kwa kutoa elimu kwa watanzania juu ya kunywa maziwa kwawingi na kwa kuhanzisha viwanda amesema haya katika maazimisho ya kunywa maziwa duniani ambako kila tarehe 8 mwezi wa12 ni siku ya maazimisho ametoa wito kwa watanzania kunywa maziwa kwa wingi amehaidi elimu ya unywaji wa maziwa kwenye wilaya yake watatowa zaidi
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment