Sunday, 1 December 2019

JUMUHIYA YA WAZAZI TAIFA YAPEWA MBINU MZITO

Filimoni Josefati ameitaka jumuhiya ya wazazi ccm taifa kujikita katika shuuli ya ufugaji nyuki kwani inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuingiza fedha ambako mpaka sasa Filimoni ameweza kuhajiri vijana 80 na ameweza kuifadhi misitu na kusambaza asali ndani na nje ya tanzania 

Yeye amejitolea kutoa elimu ya ufugaji nyuki kwenye jumuhiya ya wazazi ccm ngazi ya chini mpaka taifa amesema haya kwenye kongamano la kumpongeza raisi Magufuli kwenye utendaji kazi wake mzuri ambako jumuhia ya wazazi ccm taifa ndio waandaaji

 Habari picha na Victoria  Stanslaus

No comments:

Post a Comment