Mwenye kiti wa jumuhiya ya wazazi mkoa wa Kigoma Nikolausi Zakaria kwa niaba ya mkoa wa kigoma wanampongeza rais Magufuli ambaye mwenyekiti wa ccm taifa kwa kutekeleza sera ya ccm kwa vitendo ikiwemo ujenzi wa barabara kutoka nyakanazi,kibondo mpaka kasuru pia ameweza kufufungua miradi ya kibiashara
Na kuna barabara kutoka kasuru mpaka buigwe ishapata mkandarasi amesema haya kwenye kongamano lililo andaliwa na jumuhia ya wazaziccm taifa ivyo kupiria kongamano hili amewataadharisha wapinzani kuelekea uchaguzi wa2020 wajitathimini kwani kuna uwezekano wasiambulie kura ata moja
habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment