Afsa masoko wa Oili wanajivunia siku ya ushindani kwa kuweza kuwaelimisha watanzania ubora wa bidhaa zao na kuwataka wazitumie kwani wanauza bei nafuu na zinapatikana kwa wepesi zaidi Afsa masoko Enoki ametoa wito kwa tume ya ushindani kuweka maonyesho kama haya mara kwa mara amesema haya kwenye kilele cha siku ya ushindani duniani kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment