Tuesday, 3 December 2019

TUME YA USHINDANI YAPEWA TANO




Sagafu Nurdini Rajabu kutoka kampuni ambayo inausika na kukodisha vifaa vya ujenzi wa barabara,viwanda na kunyanyua vitu vizito piawana mashine wanazosambaza kwenye migodi ya madini wameipongeza tume ya ushindani kwakuja na siku ya ushindani kwa kuweka maonyesho kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam

Kwani kampuni yao imeweza kunufaika kwa kuwapa elimu watu wanaofika kwenye viwanja ivi ,wametangaza bidhaa zao nawatuwamependa huduma yao ivyo wameza kupata wateja wengi  ametoa wito kwa tume ya ushindani maonyesho kama haya yafanyikekwa mwaka marambili kwani yanafaida kubwa

Habari picha na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment